Sodoku Myebusi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2016 Posts 1,319 Reaction score 3,004 Aug 26, 2026 #1 Msodoku ni mwanaume rijali na ngangali hasa mwenye mfumo dume na mkakamavu. Anayejua majukumu yake ni kumlinda mwanamke. Wanaume waliumbwa hivyo wawe Wasodoku kisha Wayebusi. Basi tu wakaja kengeuka na kuwa Wapashiwa.
Msodoku ni mwanaume rijali na ngangali hasa mwenye mfumo dume na mkakamavu. Anayejua majukumu yake ni kumlinda mwanamke. Wanaume waliumbwa hivyo wawe Wasodoku kisha Wayebusi. Basi tu wakaja kengeuka na kuwa Wapashiwa.