mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Kwanza ijulikane wazi kuwa namba unayoiona wewe ni 9, mwenzio akikaa upande mwingine anaiona 6.
Kama mtu akiingia humu na kichwa chepesi, ataanza kuwachukia wanawake wote kwa visa vya humu ndani, ambavyo vingine ni vya kubumba.
Kwa utafiti wangu rasmi, mwanamke anayepakwa matope humu JF ni imaginary mostly, si halisi. Ni wa kwenye movie za hollywood. Wanawake real wa kitanzania ni tofauti kabisa na wale ambao wanaume wa JF wanawalalamikia.
Wewe kama umezinguliwa na wa kwako usitake kujumlisha na kutaka siye wengine tuwachukie wanawake kama wewe.
Halafu humu JF wanaume wengi mnaonekana mnashinda kwenye movie mno, hasa za Hollywood. Kwa sababu criteria mnazodai wanawake wanazo ni za kwenye movie mostly. Ishini kwenye uhalisia😁.
Wewe ni lofa, umepigwa na kitu kizito na ugoi goi wako, kausha! Mambo za kuja kulia lia humu ukutaka wengine nao wawachukie wanawake kama wewe, si uungwana.
Acheni kukesha mnaangalia Hollywood's love story movies! Zinawaharibu!