Ukwelimtupu00
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,106
- 1,790
Maombi hayana msaada. Ni suala la wananchi kuchukua hatua kukataa huo UTAPELI unaoendelea hapo Dodoma.
Nyerere na wenzake wangetegemea maombi kujiondoa chini ya muingereza, mpaka leo bado nchi ingekuwa bado chini ya muingereza.