Ukwelimtupu00
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,106
- 1,790
Fikiria mbunge anasimama bungeni na kuanza kutamka nonsense kama hizi
Na watu wanapiga makofi na kushangilia
Hv kweli kama taifa tutayafikia Maendeleo kwa ujinga wa namna hii?
Hujaelewa maana ya jibu au umeuliza swali Kwa mtu asiye sahihi.Haujajibu swali , umeleta tu wazo jingine
Hakuna Bunge hapo bali kuna kusanyiko la majuha.Fikiria mbunge anasimama bungeni na kuanza kutamka nonsense kama hizi
Na watu wanapiga makofi na kushangilia
Hv kweli kama taifa tutayafikia Maendeleo kwa ujinga wa namna hii?
Kwahy kwenye jambo la kuuzunisha ulitaka nitumie emoji ya kicheko?nwanaume unatumiaje emoj za kulia aaah umeniudhi
Kumbe wanaume ni kosa kulia?nwanaume unatumiaje emoj za kulia aaah umeniudhi
Upo sahihi sanaMaombi hayasaidii chochote katika maendeleo na siasa kwa nchi.