Kila mwezi na save laki mbili nizifanyie nini?

Kagomba

Member
Joined
May 21, 2012
Posts
15
Reaction score
0
Wakubwa, naomba msaada wenu wa mawazo. Mimi ni mwajiriwa lakini ktk kipato change kila mwezi naweza kubakiwa na laki mbili, je kwa amount hiyo naweza kuifanyia nini in terms of investing it?
Asanteni wanajukwaa
 
umekusanya bei gani mpaka sasa?
 
Wakubwa, naomba msaada wenu wa mawazo. Mimi ni mwajiriwa lakini ktk kipato change kila mwezi naweza kubakiwa na laki mbili, je kwa amount hiyo naweza kuifanyia nini in terms of investing it?
Asanteni wanajukwaa

Peleka msikitini ama kanisani. Hiyo iwe ni sehemu ya 1/10 ya pata lako kama zaka
 
Safi sana ni moja ya hatua nzuri ya kimaendeleo.hatua ya pili. Fanya hzo ulizo save ziweze kuzalisha nyengine hii utafanya ama kwa kuingia ubia na mtu halaf mgawane faida au ww mwenyewe uanzishe biashara.
 
Mwekezaji majigo anataka kujua mpaka sasa ana hela ngapi?
 
Mrs na yeye ana kazi ?, kama hana muulize anaweza kufanya nini ? au angependa afanye mradi gani ili umwazishie mradi asaidie kusukuma gurudumu la maisha...

Na kama bado unapanga / haujajenga wakati unawaza cha kufanya unaweza ukaanza kuinua kamsingi na kunyanyua hata kachumba kamoja polepole..., baada ya kutoka kwenye kupanga savings zitakuwa maradufu kwa wewe kuanzisha kitu (hizo laki mbili zako plus hizo unazomlipa mwenye nyumba kila mwezi)
 
Mwekezaji majigo anataka kujua mpaka sasa ana hela ngapi?

teh teh teh ndio mkuu! Kasema anakusanya laki 2 kila mwezi so Inabidi atuambie kiwango alichokusanya mpaka sasa ili nasi tuweze kuwa na uchanganuzi bora wa kile tutakachomshauri!!
 
Peleka msikitini ama kanisani. Hiyo iwe ni sehemu ya 1/10 ya pata lako kama zaka

Hao viongozi wa dini kila siku wanashindana kununua magari ya kifahari harafu unamshauri pesa yake haipeleke uko! !

Bora ata asaidie masikin kidogo kuliko kupeleka uko.

Pia lazima afanye kitu kinachozalisha ili azidi kusaidia
 
Wakubwa, naomba msaada wenu wa mawazo. Mimi ni mwajiriwa lakini ktk kipato change kila mwezi naweza kubakiwa na laki mbili, je kwa amount hiyo naweza kuifanyia nini in terms of investing it?
Asanteni wanajukwaa

hiyo laki 2 umesema ndo unaweza kubakiwa nayo kila mwezi,hiyo si sawa,unatakiwa unachopata utoe kabisa pesa unayotaka kuwekeza,na minimum unaweza kukata asilimia 15 ya pesa unayopata unaweka kwenye uwekezaji,taratibu utafikia malengo yako.
 
Wakubwa nimeanza Jan mwaka huu na sasa nina laki sita. ziko tu benki sijagusa
 
Kagomba bana, huna mkopo benki naona. Nenda benki chukua pesa ya jumla kwa kukatwa hiyo pesa. Piga (200,000 x12) x 4 years=? Mtaji wa kueleweka best rudi humu soma maoni ya wadau.
 
Last edited by a moderator:
off topic.. jamani naombeni mwongozo namna ya kuanzisha NGO..

please wana JF, nahitaji kupata procedures na namna ya kuandaa full detail pia jinsi ya kupata wafadhili wa hii kitu...

wanaojua, naombeni msaada wenu...
 
anzisha thread
 
Njo unihonge ntakuwa nakurudishia kwa riba.
 
Reactions: GKM
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…