Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakubwa, naomba msaada wenu wa mawazo. Mimi ni mwajiriwa lakini ktk kipato change kila mwezi naweza kubakiwa na laki mbili, je kwa amount hiyo naweza kuifanyia nini in terms of investing it?
Asanteni wanajukwaa
Mwekezaji majigo anataka kujua mpaka sasa ana hela ngapi?
Peleka msikitini ama kanisani. Hiyo iwe ni sehemu ya 1/10 ya pata lako kama zaka
Peleka msikitini ama kanisani. Hiyo iwe ni sehemu ya 1/10 ya pata lako kama zaka
Wakubwa, naomba msaada wenu wa mawazo. Mimi ni mwajiriwa lakini ktk kipato change kila mwezi naweza kubakiwa na laki mbili, je kwa amount hiyo naweza kuifanyia nini in terms of investing it?
Asanteni wanajukwaa
Wakubwa nimeanza Jan mwaka huu na sasa nina laki sita. ziko tu benki sijagusa
ungefikisha km M2 hivi ninge ku PM ili nikushauri cha kufanya.
Peleka msikitini ama kanisani. Hiyo iwe ni sehemu ya 1/10 ya pata lako kama zaka
off topic.. jamani naombeni mwongozo namna ya kuanzisha NGO..
please wana JF, nahitaji kupata procedures na namna ya kuandaa full detail pia jinsi ya kupata wafadhili wa hii kitu...
wanaojua, naombeni msaada wenu...