Kila mwezi na save laki mbili nizifanyie nini?

Kila mwezi na save laki mbili nizifanyie nini?

Money looses value over time. Laki 2 leo thaman yake si sawa na miezi 12 ijayo..
Tumia ku attend your immediate needs, short term goals.. "Material things" ama kama ni biashara start from the bottom na icho icho kidogo uku unaongeza mtaji kila mwez na iyo 200.
Ningeona bora pia kama ungejinyima zaid miez mi3 paka 6 ukakusanya mtaj mzuri (saving more than 200) ukafanya kitu kizito zaid.
 
Kama unaweza kuzifanyia biashara ni bora ila usijaribu hiyo biashara yako kumpa ndugu au rafiki yako, utalia
 
Back
Top Bottom