Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
unapofufuliwa unarejeshewa mwili inakuwaje hapo?Kwa Mujibu wa Bible( Samahani maana Quran tukufu siifahamu sawasawa) Mwanadamu ni Combination ya vitu vitatu. Mwili/ Udongo, nafsi/ pumzi pamoja na roho/Mtu.
Wewe ni mtu/roho na hautakufa. Mwili ni mavumbi tu au housing. Nafsi ni kiunganishi cha mwili na roho yako ili viweze kufanya kazi pamoja.
jibu: Mwili unakufa na haujirudi tena baada ya kupoteza pumzi ya uhai ambayo ni nafsi.
sawaSoma kitabu cha life cycle form two.