Kila nifanyapo au kuzungumzia pato linashuka

Kila nifanyapo au kuzungumzia pato linashuka

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,085
Reaction score
15,197
Naam ndugu zangu tufungao,,,vp swaumu?

Anyway kwa kitambo sasa nimekuwa nikifuatilia maswala ya upwiru mixer pato katika utafutaji,,,

Ni dhahiri shahiri kuna uhusiano mkubwa kati ya fedha na ngono...

Kila ninapomzagamua mtu nje ya ndoa pesa huota mbawa na hali huwa ngumu kweli kweli,,,

Mara zingine hutegemea na aina ya ntu nimzagamuaye kama ni mjane hali si ngumu sana.

Kama ni dada poa huwa inategemea kama ni ntu ambaye sijui status yake ya mahusiano pengine au pengine ana ntu halafu anadanganya hapo pesa huota mbaya na hali inakuwa ya ukame kweli kweli.

Wengine hata tu nuksi na tu nkosi mpaka nikakoge magadi,,,,,,,,

Huu Upwiru huu,,,,bora tufunge......
 
Kulingana na threads zako kusimamulia mambo ya 80s huko bado hata wengine hatujazaliwa....

Ni dhahiri uko na 45+ kama sio umri wa kustaafu kabisa !

Lakini mada zako zimejaa utoto ndugu ...
 
Kulingana na threads zako kusimamulia mambo ya 80s huko bado hata wengine hatujazaliwa....

Ni dhahiri uko na 45+ kama sio umri wa kustaafu kabisa !

Lakini mada zako zimejaa utoto ndugu ...
Naitafuta sabini bandugu.....
Mada zangu zipotezee....wengine humu ni kijiweni....tupo kwa ajili ya blah blah....by the way lini mara ya mwisho KUTIA....
 
Naitafuta sabini bandugu.....
Mada zangu zipotezee....wengine humu ni kijiweni....tupo kwa ajili ya blah blah....by the way lini mara ya mwisho KUTIA....
Usiku wa kuamkia Leo..... 70 unakaribia hongera masta na shkamoo .... una umri wangu mara 2
 
hilo lina ukweli, unajua hata wachawi, waganga watu wa nguvu za giza wakiwa wanaenda kufanya mambo yao yafanikiwe huwa hawafanya mapenz ,mapenzi yanachota nguvu sana,ndiyo maana kimaandiko uzinzi ni dhambi kubwa sana maana hufanyika ndani ya mwili na huchafua hekalu la roho mtakatifu ,unaweza ukaacha lakini ni mind set mimi nimeweza hata nikiwa mbali na mke wangu najitahidi nisitamani kufanya uzinzi,hivi unajua kama wewe humcheat mkeo lakini yeye akatoka nje ya ndoa ukilala nae kuna zile nguvu chafu anakuhamishia za mtu aliekusaliti nae?
 
ndivyo ilivyo, ni heri utulie kwenye ndoa yako! Watu wamebeba laana na mikosi juu ya kulala na watu hovyo hovyo! Ipo siku zitapepea na hazitarudi🤝🏽
Kweli mkuu, nilikaa nikatafakari sana hivi hizi mbususu zitanifikisha wapi, kila nikipiga nje pesa inapotea sana na pesa zenyewe sina. Nmeacha kwa sababu hakuna faida zaidi ya kupalilia ugumu wa maisha, kama n tamaa hazitokaa ziishe na kila siku wanaotamanisha wanazaliwa na kuongezeka mjini.
 
uzinzi unaweza kuuchukia na kuacha,kuna hile unaacha kabisa unarudia unaanza majuto unajua dhambi unayo acha na kurudia ni makwazo kwa mola, yani ukipenda dhambi sanaa inakuweka mbali na Mungu na hapo ndiyo Mungu anakuacha upomitie mapito ,unaambia alie ndani yenu yani (roho mtakatifu) ni mkubwa kuliko alie duniani yani (shetani),sasa ukifanya uzinzi holela unachafua hekalu la roho mtakatifu na hapo umeweka mbali na hule ukubwa hutauona yani hatakusaidia hata kidogo atakuacha shetani akipambanie
 
Kweli mkuu, nilikaa nikatafakari sana hivi hizi mbususu zitanifikisha wapi, kila nikipiga nje pesa inapotea sana na pesa zenyewe sina. Nmeacha kwa sababu hakuna faida zaidi ya kupalilia ugumu wa maisha, kama n tamaa hazitokaa ziishe na kila siku wanaotamanisha wanazaliwa na kuongezeka mjini.
Watoto wazuri hawaishi😆

Ni kweli ukiendekeza sana ngono itakuendesha tujifunze kupuuzia haya mambo especially kwa hiyo gender yenu msioweza kujizuia bora huku kwetu unakaa hata mwaka hugusanishi!
 
Watoto wazuri hawaishi😆

Ni kweli ukiendekeza sana ngona itakuendesha tujifunze kupuuzia haya mambo especially kwa hiyo gender yenu msioweza kujizuia bora huku kwetu unakaa hata mwaka hugusanishi!
Kujizuia ni bora zaidi haya mambo yana nguvu sana ya kuharibu zaidi kuliko kujenga.
 
Back
Top Bottom