Naitafuta sabini bandugu.....Kulingana na threads zako kusimamulia mambo ya 80s huko bado hata wengine hatujazaliwa....
Ni dhahiri uko na 45+ kama sio umri wa kustaafu kabisa !
Lakini mada zako zimejaa utoto ndugu ...
Usiku wa kuamkia Leo..... 70 unakaribia hongera masta na shkamoo .... una umri wangu mara 2Naitafuta sabini bandugu.....
Mada zangu zipotezee....wengine humu ni kijiweni....tupo kwa ajili ya blah blah....by the way lini mara ya mwisho KUTIA....
Kweli mkuu, nilikaa nikatafakari sana hivi hizi mbususu zitanifikisha wapi, kila nikipiga nje pesa inapotea sana na pesa zenyewe sina. Nmeacha kwa sababu hakuna faida zaidi ya kupalilia ugumu wa maisha, kama n tamaa hazitokaa ziishe na kila siku wanaotamanisha wanazaliwa na kuongezeka mjini.ndivyo ilivyo, ni heri utulie kwenye ndoa yako! Watu wamebeba laana na mikosi juu ya kulala na watu hovyo hovyo! Ipo siku zitapepea na hazitarudi🤝🏽
Watoto wazuri hawaishi😆Kweli mkuu, nilikaa nikatafakari sana hivi hizi mbususu zitanifikisha wapi, kila nikipiga nje pesa inapotea sana na pesa zenyewe sina. Nmeacha kwa sababu hakuna faida zaidi ya kupalilia ugumu wa maisha, kama n tamaa hazitokaa ziishe na kila siku wanaotamanisha wanazaliwa na kuongezeka mjini.
Kujizuia ni bora zaidi haya mambo yana nguvu sana ya kuharibu zaidi kuliko kujenga.Watoto wazuri hawaishi😆
Ni kweli ukiendekeza sana ngona itakuendesha tujifunze kupuuzia haya mambo especially kwa hiyo gender yenu msioweza kujizuia bora huku kwetu unakaa hata mwaka hugusanishi!
Umeona!!Kujizuia ni bora zaidi haya mambo yana nguvu sana ya kuharibu zaidi kuliko kujenga.
ndio tajiriUmeona!!