mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Ni kawaida yenu tulishawazoea. Wakivuka makundi kwenda robo utasikia walipangwa na vibonde kwenye kundi lao.Wewe ni mbumbumbu sana..
Hata kwenye wazuri jua pia wapo wabovu.. Simba ndio timu mbovu miongoni wa timu Bora zilizoko makundi cafcl.. period
Utopolo ndio timu Bora Kwa Sasa sio tu Kwa Tanzania Bali Africa.. mabingwa watetezi wa nchi na makombe yote ya ndani. Kinara wa msimamo wa ligi japo wamecheza mechi chache kuliko timu zote ukiwemo na wewe.. Timu inayoongoza kuzifunga timu zote nchini mara nyingi zaidi pamoja nawewe ukiwemo..Tangu ligi ianze Singida B.S hakuwahi kufungwa goli 4.. Juzi wala mihogo (kwa ufadhili wa mwenye timu) mmemuadhibu ipasavyo. We tahira unataka tusemr hili nalo ni ajabu baada ya Singida kufungwa goli4 na timu mbovu kama Utopolo?
Ko leo ule usemi wa mabingwa wa kihistoria umeufuta rasmi?Zilipendwa izo... Maumivu ni makali sana, ukiona mtu anatumia mambo ya zamani kama self defense yake jua Kwa Sasa ana Hali mbaya sana.. Kabati la makombe pale Kwa mwamedi limebaki na kombe la mapinduzi tu.. angalieni nalo mnaweza kupoteza
Utopolo ndio timu Bora Kwa Sasa sio tu Kwa Tanzania Bali Africa.. mabingwa watetezi wa nchi na makombe yote ya ndani. Kinara wa msimamo wa ligi japo wamecheza mechi chache kuliko timu zote ukiwemo na wewe.. Timu inayoongoza kuzifunga timu zote nchini mara nyingi zaidi pamoja nawewe ukiwemo..
47 unbeaten kwny ligi.. hebu we jitahidi ufikishe hata 5 unbeaten Kisha ndio uje kujilinganisha nao
Hiyo mbovu uliipiga ngapi ulipokutana nayo?Tangu ligi ianze Singida B.S hakuwahi kufungwa goli 4.. Juzi wala mihogo (kwa ufadhili wa mwenye timu) mmemuadhibu ipasavyo. We tahira unataka tusemr hili nalo ni ajabu baada ya Singida kufungwa goli4 na timu mbovu kama Utopolo?
Nabishana na mpumbavu fulani hivi.. kichaka mlichobakiza ni hicho mashindano ya kimataifa.. Na huko tutawashangaza zaid ya tulivyowashangaza kule tunisia.. Subilini tu maana kusikia Kwa kenge paka masikio yatoke damu..Ni kawaida yenu tulishawazoea. Wakivuka makundi kwenda robo utasikia walipangwa na vibonde kwenye kundi lao.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Umesahau Simba ndio mke halali wa Yanga?? Yaani akitaka kujilia mda wowote tu anakula..7,888,971,004,523,011.11
Nabishana na mpumbavu fulani hivi.. kichaka mlichobakiza ni hicho mashindano ya kimataifa.. Na huko tutawashangaza zaid ya tulivyowashangaza kule tunisia.. Subilini tu maana kusikia Kwa kenge paka masikio yatoke damu..
Yanga inaenda kuvunja rekodi zote za zamani za Simba,.. Hivi huoni timu yako iliyokuwa ina makombe yote ila haina kitu chochote, imebakiza wachezaji wakuokoteza km Kibu D sijui kyombo, Nyoni,Mzamiru,mwenda, kapama, Gadiel,akpan, boco..
Ilo ni anguko kubwa sana Kwa klabu ya mpila kama hulioni basi jua we ni hamnazo
Sasa si bora kuwa timu mbovu miongoni mwa timu 16 bora zilizofuzu hatua ya makundi klabu bingwa kuliko kushindwa kabisa kufuzu na kuishia kucheza makundi kombe la Looser ambalo hata wanetu Namungo huwa wanafuzu kila wakipata nafasi ya kushirikiWewe ni mbumbumbu sana..
Hata kwenye wazuri jua pia wapo wabovu.. Simba ndio timu mbovu miongoni wa timu Bora zilizoko makundi cafcl.. period
Yaani mtushangaze mara ngapi mkuu?Nabishana na mpumbavu fulani hivi.. kichaka mlichobakiza ni hicho mashindano ya kimataifa.. Na huko tutawashangaza zaid ya tulivyowashangaza kule tunisia.. Subilini tu maana kusikia Kwa kenge paka masikio yatoke damu..
Yanga inaenda kuvunja rekodi zote za zamani za Simba,.. Hivi huoni timu yako iliyokuwa ina makombe yote ila haina kitu chochote, imebakiza wachezaji wakuokoteza km Kibu D sijui kyombo, Nyoni,Mzamiru,mwenda, kapama, Gadiel,akpan, boco..
Ilo ni anguko kubwa sana Kwa klabu ya mpila kama hulioni basi jua we ni hamnazo
Hapo ndio umeonesha kula sembe hakujawahi kumwacha mtu salama..
hii timu sio ya kufungwa goli zaidi ya mbili, sasa Timu mbovu kama Simba inaweza vipi kumfunga ruvu goli 4??
Kwa izo takwimu zako tayari umethibitisha kabisa hapo bahasha zimehusika
kwa nini utukane wakati kuna chati imewekwa ya mechi alizocheza Ruvu zinathitisha udanganyifu alioufanya simba.We tahira timu yako ilimfunga goli ngapi mlipokutana nae?!
Watoto ambao mama zao walibebea mimba vichakani hupenda Sana kutukana.Nabishana na mpumbavu fulani hivi.. kichaka mlichobakiza ni hicho mashindano ya kimataifa.. Na huko tutawashangaza zaid ya tulivyowashangaza kule tunisia.. Subilini tu maana kusikia Kwa kenge paka masikio yatoke damu..
Yanga inaenda kuvunja rekodi zote za zamani za Simba,.. Hivi huoni timu yako iliyokuwa ina makombe yote ila haina kitu chochote, imebakiza wachezaji wakuokoteza km Kibu D sijui kyombo, Nyoni,Mzamiru,mwenda, kapama, Gadiel,akpan, boco..
Ilo ni anguko kubwa sana Kwa klabu ya mpila kama hulioni basi jua we ni hamnazo
Una uhakika kwamba Simba wamefunga gori 27?? Acha uongo Simba SC Wana gori 24 tu za kufunga na 5 za kufungwa GD ni 19, Young Africans Wana 19 za kufunga 6 za kufungwa na Wana michezo miwili mkononi, mechi zikilingana ndo uje hapa na takwimu zako za uongo hizo za gori 27..Harufu ya kinyesi na mihogo haijawahi kumwacha mtu salama.
Timu iliyotinga makundi CAFCL kwa kufungwa goli Moja tu,
timu inayoongoza kwa wingi wa magoli NBCpl (27), timu iliyofungwa magoli machache NBCpl(5), timu ambayo ina kipa anayeongoza kwa cleansheet (7) NBCpl eti ndo inaitwa mbovu halafu ile inayoshiriki kombe la looser ndiyo mnaita timu bora.
Hizo ni akili au matope? Hakika aliyewaita hamnazo hakukosea.