mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Ni kawaida yenu tulishawazoea. Wakivuka makundi kwenda robo utasikia walipangwa na vibonde kwenye kundi lao.Wewe ni mbumbumbu sana..
Hata kwenye wazuri jua pia wapo wabovu.. Simba ndio timu mbovu miongoni wa timu Bora zilizoko makundi cafcl.. period
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app