Siwapendi wabunge hasa niwaonapo bungeni wakiongea. Sipendi kuliangalia bunge hilo kwa sababu halina baraka za wananchi. Walishiriki kuuza bandari zetu kwa DPWorld na wakatoa sifa Kede kede kwa wizi huo wa kimkataba.
Nadhani kama nchi naomba picha zao zichapishwe kwenye magazeti na kalenda zikiambatana na kauli mbio "HAWA NDIO WALIOSHIRIKI KUUZA BANDARI ZETU ZOTE KWA WAARABU"
Najua mkataba wa bandari na DP WORLD utatutesa sisi na vizazi vyetu vingi vijavyo.
Aisee kwa ujinga wa wabunge waliowengi, nchi imekuwa ikipitia umaskini mkubwa kwa sababu kazi yao kubwa bungeni ni kupiga makofi na kusaini posho.
Nadhani recruitment ya ubunge ibadilishwe, mbunge kuingia bungeni lazima awe na degree moja na kuendelea na mshahara na posho ya wabunge kwa mwezi isizidi million 4 ili kupata wazalendo wa kweli kwenda kutetea maslahi ya nchi na wananchi na sio maslahi ya wanasiasa na matumbo yao.