1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
yaaan sijui nifanyeje? uko kama mmWe uko kama mimi aisee naweza nikaanza vizuri consistence inanishinda
we najua nyama nyingiNgoja waje wazoefu
we najua nyama nyingi
aiseee shukrani kaka,, naanza ivo ivo lakini uvivu ndo shida, maana siku ya kwanza tu miguu huuma kishenziMazoezi hayana ujuzi kila siku ni mpya... Kama mm uwa ninakimbia kwa wiki Mara 4 muda wa alfaji asubuhi dk 30 Lakin kila ninapo damka alifajiri mwilihuwa unakataa inabidi kujilazimisha.... Ukiweza tafuta mtu mwingine mshawisha na Yeye akipenda mazoezi itakupa motisha Leo ukichoka Yeye atakushawishi hivyo hivyo na Yeye siku Akiwa mvivu uta mvuta... Mazoezi ayazoeleki mkuu ni kudhamiria kwa sasa Mimi Nina mwaka na miezi Sita.. Ninauwezo wa kukimbia bila kupumzika kwa lisaaa pumzi ipo ya kutosha....
push up, jogging, skwash, kukata tumbo, n.kUnafanya mazoezi gani?
hapana mkuu, kuweka mwili sawaMaisha yenyewe mazoezi tosha, we kuna kingine unakitafuta
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha hayo mambo yamenishinda mm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unafanya kwa pamoja haya yote au kila kitu na siku yake?push up, jogging, skwash, kukata tumbo, n.k
[emoji23] [emoji23] [emoji23] we unaweza mazoezi ya kukata viuno maana yale hufundishwi unajikuta tu unajuaHahaha kuna rafiki yangu kila siku jioni gym ananiambia nitakulipia nikamwambia nipe hiyo hela nikiwa tayari nitaenda amekataa ananiambia we nikupe hela huwezi kwenda yaan angenipa angeisoma no naanzaje mm
matatu kwa siku mojaUnafanya kwa pamoja haya yote au kila kitu na siku yake?
ok mkuuinatia moyo kama mkiwa wengi! kama wawili au zaidi