Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Ratiba mubashara hiyomkuu amenipa ratiba nzuri,
anajifariji tu, kama kweli ni shabiki wa mpira ataenda kuangalia mechi ya leo, ila kama ni mshangiliaji wa mpira atalala ndani akikaa na shem akiangalia tamthilia ya waphilipino[emoji23]Anadai World Cup kwake iliishia baada ya Brazil kupata kipigo cha mbwa koko. Hahahaaaa.
CC. Sesten Zakazaka.
I ll be joining you mkuu ...asubuhi pale alfajiri, au jion mida ya 12,
kabisaaaRatiba mubashara hiyo
karibu sanaaI ll be joining you mkuu ...
Sesten wanijua hasaaaa.Leo kwangu kesho kwako lakini, walisema wahenga, tena maumivu yako nayajua yamelalia wapi ujue....wala sio huko kimataifa
Kawachambua kama karanga aisee, nimependa uchambuzi huoHahahaaa. Umejua kuwapanga aiseee. Kama juzi Neymar anakuja kuibuka dk zimeshakwisha.
Nimezipenda sana hizo style zao kwa jinsi ulivyozichambua.
Sesten Zakazaka haya ona post no [HASHTAG]#285[/HASHTAG] uone Brazil yako na wachezaji wake jinsi 1kush africa alivyowachambua. Teh teh
Hahahaaaa. Na kweli aiseee.anajifariji tu, kama kweli ni shabiki wa mpira ataenda kuangalia mechi ya leo, ila kama ni mshangiliaji wa mpira atalala ndani akikaa na shem akiangalia tamthilia ya waphilipino[emoji23]
Hahahaaa, na ujiandae vizuri usitafute sababu safari hiiSesten wanijua hasaaaa.
Hivyo sitapata tabu kwani najua mnyonge wangu upo hivyo maumivu yatakuwa ya muda tu Sesten. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] neymar akiacha ile style akamuiga hazard,, atasumbua,, ila asipobadilika atabaki kama quaresma yule wa urenoKawachambua kama karanga aisee, nimependa uchambuzi huo
Hahahah mwalimu wangu ni Yutyubehii ratiba naichukua huenda nikawa na 12 packs [emoji23]
kuna moja nimedownload iko poa sanaaHahahah mwalimu wangu ni Yutyube
Kuhusu mama Itengejha bado hajapatikanaDuuh! Haya bana Mtani.
Hivyo Mama Itengejha anaipata pata. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ana utoto mwingi sana na unashaangaa namna timu nzima kuanzia wachezaji wenzake, kocha, bench lote la ufundi na hata wachezaji wa zamani na wananchi wa Brazil walikua wanamtegemea yeye awaletee kombe la dunia![emoji23] [emoji23] [emoji23] neymar akiacha ile style akamuiga hazard,, atasumbua,, ila asipobadilika atabaki kama quaresma yule wa ureno
Hahahah mwanzo utatamani uache maumivu ya tumbo ni zaid ya kidondahii ratiba naichukua huenda nikawa na 12 packs [emoji23]
Nitaungalia mpira kwa shingo upande lakiniHahahaaaa. Na kweli aiseee.
Ila nimecheka lol.
ilifikia hatua wanachza upande mmoja tu kushoto, kulia anabaki willian pekee akiwa hatumiki ipasavyo,, ningekuwa kocha ningempanga namba 9, ili awe anageuka mda wote mana hatapata mda wa mwingiAna utoto mwingi sana na unashaangaa namna timu nzima kuanzia wachezaji wenzake, kocha, bench lote la ufundi na hata wachezaji wa zamani na wananchi wa Brazil walikua wanamtegemea yeye awaletee kombe la dunia!
mwenzio sasa nna hali mpyaaAiseee.. Hata Mimi hunishindaga..
ndani ya Youtube utapata kila kitu mkuu ukitaka jinsi ya kutongoza utapata pia.kuna moja nimedownload iko poa sanaa