Kila nikianza mazoezi ya viungo baada ya wiki mbili au tatu naacha, nikijitahidi mwezi mmoja baadaye naacha

siku ile sikuamini kabisa,, tatu bila,,
Desaily alipopewa kadi nyekundu kwa kumchezea vibaya Ronaldo nikajua magoli yote yatarudi, lakini siku hiyo Ronaldo hakua mchezoni kabisaa! Tukaambiwa kupitia tetesi kua alipata degedege muda mfupi kabda ya mpira kuanza na eti Nike wakalazimisha acheze hivyohivyo! Kama habari hizo ni za kweli itakuwa kuna syndicate kubwa sana kati ya makampuni makubwa ya vifaa vya michezo, timu zinazoshiriki WC na hata FIFA yenyewe
 
waongo wale degedege ulaya toka lini tena mwanamichezo? siku ile watu walikaba nafasi tu, akawa hapati mipira mingi
 
Halafu kocha akaja akamtoa Wilium wakati alikua anacheza vizuri tu
pale ndo kocha alipopagawa kabisa nikaona kabisa jahazi lao linazama, alafu kale ka navas jesus sijui anakapangia nn, unajua kapewa jukum nzito mno namba 9 vile viatu hata adriano vilimpwaya,, angalau angemwamini fermino ingekaa poa
 
Back
Top Bottom