Kila nikianza mazoezi ya viungo baada ya wiki mbili au tatu naacha, nikijitahidi mwezi mmoja baadaye naacha

Hahahaaa. Hivyo mie na yna4 miili yetu hatuiwezi au sijakuelewa Sesten. [emoji12] [emoji12]

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli hujanielewa Hajar,
Nilikua namaanisha kwamba, mwanzo tulikua tunaongea kuhusu mazoezi na kupunguza uzito na miili mikubwa, sasa ndio nikaauuliza kwani kua na kilo nyingi au kua na mwili mkubwa ni tatizo ikiwa mtu anaumudu mwili wake na uzito wake? Mtu anaweza kua na mwili mkubwa bado akawa mwepesi na wala haiwi kikwazo cha kufanya shughuli zake zote bila shida

Mazoezi yanasaidia mwili kua fiti na si lazima mtu apungue uzito ili ajione yuko fiti, ingawa inategemea urefu wako pia,
hiyo ndio ilikua maana yangu Hajar wetu eeh mamii
 
Ooh. Nimeelewa sasa.

Maana sio kwa gazeti hilo Sesten.
 
kuna siku ivo ivo ndo nimeanza hayo mazoezi maumivu hayajapoa shem wako akaja kutoka safari, usiniulize nn kilitokea hapo maana maumivu juu ya maumivu kesho yake[emoji23]
Umenikumbusha mbali sana kiongozi kuna siku moja nilipiga round nyingi nikalala bila kula, sitosahau siku ile, usingizi ulikata ghafla saa 11 alifajiri nikahisi kama tumbo limekatwa then limepakwa pilipili ilikuwa ni bonge ya njaa zaidi ya 1987 nilifungua friji nikachukua mkate mkubwa ndani ya dk 5 umeishia tumboni na maji ya kutosha..
 
Back
Top Bottom