1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
-
- #481
niko salama ndugu,Naam naam, mkuu, ndiye mimi
Bilashaka upo salama kabisa ndugu yangu
Ni jambo la kushukuru kama upo salama maana dunia ya sasa imejaa "wasiojulikana' na "yasiyojulikana"niko salama ndugu,
[emoji23]Sukari ya warembo wa JF on air![emoji28][emoji28][emoji28]
hahahNi jambo la kushukuru kama upo salama maana dunia ya sasa imejaa "wasiojulikana' na "yasiyojulikana"
Hongera kwa kukata kilo 23, ilikua mwezi wa Ramadhani nini?😀
Mimi nipo nafaata nyayo za bwana huyu...siwezi kuacha mkuu, niko Fireeee
safi mkuu mwili wako uko nyumba bila shaka [emoji23]
mhhhSukari ya warembo wa JF on air![emoji28][emoji28][emoji28]