[emoji23] [emoji23] [emoji23] we unaweza mazoezi ya kukata viuno maana yale hufundishwi unajikuta tu unajua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfyuuuu zako
Seti malengo ya unachotaka kukifikia ndani ya muda fulani. Iwe katika mfumo wako jogging, squats na sit ups.matatu kwa siku moja
Jaman mazoezi yapiNgoja waje wazoefu
Jaman mazoezi yapi
Mkuu bora wewe.Wazoefu mnipe kautaratibu inakuaje mna dumu kufanya mazoezi mwaka mzima bila kuacha? au mnatumia mbinu gani?
MAZOEZI NI AFYA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata mimi bora nilipe halafu usiende.Hahaha kuna rafiki yangu kila siku jioni gym ananiambia nitakulipia nikamwambia nipe hiyo hela nikiwa tayari nitaenda amekataa ananiambia we nikupe hela huwezi kwenda yaan angenipa angeisoma no naanzaje mm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata mimi bora nilipe halafu usiende.
Unawaza kuyafanya mda gani?ok mkuu
Wewe mwenyewe umesema angekupa angeisoma namba.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa nn siaminiki kwenye swala la mahela jamani
Wewe mwenyewe umesema angekupa angeisoma namba.
Aisee huwa ngumu kweli Mimi Nina ka app kakunikumbusha,ila alarm yake naichukia kweli,angekuwa mtu ningeshagombana[emoji23] [emoji23]Ya viungo vya mwili
Si mchezo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwakweli
Aisee huwa ngumu kweli Mimi Nina ka app kakunikumbusha,ila alarm yake naichukia kweli,angekuwa mtu ningeshagombana[emoji23] [emoji23]
Kipaji haswa hasa pale baby kakuambia anapenda mwanaume mwenyewe six pack [emoji23] [emoji23]Hahaha poleni jamani mazoezi nacho kipaji
Kipaji haswa hasa pale baby kakuambia anapenda mwanaume mwenyewe six pack [emoji23] [emoji23]
Ukipewa sharti la hivyo utaitafuta tu siksi paki[emoji23] [emoji23]Hahaha kumbe mnafanyaga mazoezi kwa ajili ya six pack woiii
Ukipewa sharti la hivyo utaitafuta tu siksi paki[emoji23] [emoji23]
Fanya utafute partner uwe unafanya nae zoezi hapo hutaacha utaendelea hata kwa shingo upande ..Wazoefu mnipe kautaratibu inakuaje mna dumu kufanya mazoezi mwaka mzima bila kuacha? au mnatumia mbinu gani?
MAZOEZI NI AFYA