Kila nikianza mazoezi ya viungo baada ya wiki mbili au tatu naacha, nikijitahidi mwezi mmoja baadaye naacha

Kila nikianza mazoezi ya viungo baada ya wiki mbili au tatu naacha, nikijitahidi mwezi mmoja baadaye naacha

matatu kwa siku moja
Seti malengo ya unachotaka kukifikia ndani ya muda fulani. Iwe katika mfumo wako jogging, squats na sit ups.

Jua kua mazoezi ni wito. Usiwe na zile za kusubiri upigiwe simu ndiyo uende mazoezini.

Train kwa mtindo wa kujichallenge, yaani ongeza idadi ya unachofanya kila baada ya muda fulani. Siku tatu au wiki.

Train kwa kuadvance kidogo kidogo. Usiruke kwenye deal ndefu kabla.

Natumaini unacheki unachokula na kunywa.

Ukijiona hutaki kutoka ndani ila unataka kufanya mazoezi cheki hapa.

Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia Gym
 
Hahaha kuna rafiki yangu kila siku jioni gym ananiambia nitakulipia nikamwambia nipe hiyo hela nikiwa tayari nitaenda amekataa ananiambia we nikupe hela huwezi kwenda yaan angenipa angeisoma no naanzaje mm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata mimi bora nilipe halafu usiende.
 
Wazoefu mnipe kautaratibu inakuaje mna dumu kufanya mazoezi mwaka mzima bila kuacha? au mnatumia mbinu gani?

MAZOEZI NI AFYA
Fanya utafute partner uwe unafanya nae zoezi hapo hutaacha utaendelea hata kwa shingo upande ..
Lkn kama uko peke yako na ni mvivu mvivu kama mimi basi kila baada ya week utakuwa unaacha
 
Back
Top Bottom