Kila nikichemsha njegere haziivi

Asanteje jamani yaani nashukuru sana
 
Mkuu niliugua ugonjwa wa ndui ilibaki kidogo nipoteze maisha,ndiyo maana yamebaki madoa madoa usoni!Huu ugonwa uliua watu wengi sasa hapa kwetu Tanzania.

teh teh teh pole sana
 
Njegere hazichemshwi kama makande jamani!!!
 
Njia ya haraka ya kupika njegere,ukishaziosha ziweke kwenye sufuria unayokaanga washa moto vile vimaji vya kuoshea vikikauka weka mafuta kiasi na chumvi anza kuzikaanga kama DKK 5 weka kitunguu endelea kukaanga mpaka kiive,weka karoti endelea kukaanga weka nyanya zako sasa na spice nyingine upendazo funikia nyanya I've nyanya ikisharojoka weka tui LA Nazi LA pili funika punguza moto vichemke taratibu ukipenda weka na Viaz kidogo lile tui likishakauka weka tui la kwanza korogo vizuri likiiva epua hapo njegere zako zinakuwa tayari kuliwa na ubwabwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…