1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
-
- #21
Kumbee, yaan dah,,Duh hiyo hali kitaalamu huitwa Muscle Aptrocxy, ni hali ya misuli kusisimka ikipata mawasiliano ya uwepo wa kelele.
Haiwez kuishaJf ishaisha
Yah, fanya mazoezi ya kutune akili yako iwe normal pale usikiapo sauti zenye kukupa hisia.Kumbee, yaan dah,,
Hadi nauliza ujue nashangaa, labda wapo kama na wao huwatokeaYah, fanya mazoezi ya kutune akili yako iwe normal pale usikiapo sauti zenye kukupa hisia.
MmmhSisi wengine matomaso tuone kweli unachosema
Aisee pole sana.Hadi nauliza ujue nashangaa, labda wapo kama na wao huwatokea
Poa poa mkuu, kumbe ni mm sasa, mm hadi nyieAisee pole sana.
Choon kufanyaje tenaLikisimama kakojoe chooni
Huyu Messi au Le mutumbo kavaa jezi za Barcelona.Tumia hiyo kwanza. View attachment 1129121
Watu wanabeza ila ndo ivo,, ndo maana nikauliza hii kitu ikoje? Ndo maana napocheza inabidi nisikae karibu na ke,kuna rafiki yangu pia alishawahi niambia kuhusu hii hali kumtokea hata mm sijui husababishwa na nini , nawashangaa wanao kubeza
dah ukweli hakuna siku niliona imenitosha, mambo mengi nahamka saa kumi na moja kila siku kulala saa nne, hapa kati sijawah kupata mda wa kucheza gemu.Kwa wale wanao chezea katika mobile phone,,
Uzi tayari.