Kila nikicheza Dream League Soccer, Dushe lelee lina amka amka tuuu,,, nyie huwatokea hii hali?

Kila nikicheza Dream League Soccer, Dushe lelee lina amka amka tuuu,,, nyie huwatokea hii hali?

Dah, mi nlijua peke angu, kumbe na wewe,, kuna watu walikuwa wananishangaa bana,, nashkuru kumbe hili si tatizo adriz
kuna rafiki yangu pia alishawahi niambia kuhusu hii hali kumtokea hata mm sijui husababishwa na nini , nawashangaa wanao kubeza
 
kuna rafiki yangu pia alishawahi niambia kuhusu hii hali kumtokea hata mm sijui husababishwa na nini , nawashangaa wanao kubeza
Watu wanabeza ila ndo ivo,, ndo maana nikauliza hii kitu ikoje? Ndo maana napocheza inabidi nisikae karibu na ke,
 
Mtoa mada
62530666_324099421838092_2536194921480585216_n.jpeg
 
Back
Top Bottom