1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Kwa wale wanao chezea katika mobile phone,,
Uzi tayari.
Uzi tayari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia hiyo kwanza.Ebu weka picha kwanza
Aisee we jamaa unaua sana mzee[emoji23][emoji23][emoji23]Tumia hiyo kwanza. View attachment 1129121
Mkuu yaan unaweza ukacheka lakin hata sielewi kwa nn?Labda umemsajili Eden Hazard ule msambwanda wake unakuchanganya.
Ametaka picha, imebidi nimpe.Aisee we jamaa unaua sana mzee[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Je ukitazama mpira kwenye tv hali hiyo hutokea?Mkuu yaan unaweza ukacheka lakin hata sielewi kwa nn?
Sio ivoLabda umemsajili Eden Hazard ule msambwanda wake unakuchanganya.
Aaaah ya nn tena [emoji23]Ebu weka picha kwanza
Kwenye hakuna hii hali, ila ktk game tu tena ninapo score zaidi hali huwa juuu[emoji28] [emoji28] [emoji28] Je ukitazama mpira kwenye tv hali hiyo hutokea?
We bwana sio picha hiiTumia hiyo kwanza. View attachment 1129121
Sisi wengine matomaso tuone kweli unachosemaAaaah ya nn tena [emoji23]
Ipi sasaWe bwana sio picha hii
Duh hiyo hali kitaalamu huitwa Muscle Aptrocxy, ni hali ya misuli kusisimka ikipata mawasiliano ya uwepo wa kelele.Kwenye hakuna hii hali, ila ktk game tu tena ninapo score zaidi hali huwa juuu
Ni pango au mchuzi?We bwana sio picha hii
Shambulio hilo sasaSisi wengine matomaso tuone kweli unachosema