Kila Nikienda Kanisani lazima nikutane na hili tatizo!

Mkuu Namalizia Chuo Uhandisi!
Haina shida only two or three years you can be cha msingi muone paroko na mueleze hisia hizo na isiwe nilo tu elezea na mengine unayoona yanakuvutia na ni bora ukafunga novena kuomba roho mtakatifu akuonyeshe kama kweli huko ndo njia yako. Usije ukaenda huko ukawa paroka wa kuzalisha wahudumu wa kanisa wadada na akina mama. Maana huwa hawanyimwi papuchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aqo loe kung
 
Usikanyage tena kanisani au ukienda ibada ikanza wee rudi nyumbani
 
Pangea na baba Paroko, unaweza kuwa Deacon. Huyu ni mtu anaeos na kuwa na familia lakini hufanya shughuli nyingi za kanisa isipokuws kusoma misa.
 
Pangea na baba Paroko, unaweza kuwa Deacon. Huyu ni mtu anaeos na kuwa na familia lakini hufanya shughuli nyingi za kanisa isipokuws kusoma misa.
Ni kweli ..lakini kwa Tanzania hatuna mfumo wa mashemasi wa kudumu...ulaya ndo watumia sana huo mfumo wa mashemasi!!!! Ajaribu kujitafakari safari yake katika wito mtakatifu maana huenda akawa anatamani tu kwa nje tu, lazima awe na "internal call"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…