Kila Nikienda Kanisani lazima nikutane na hili tatizo!

internal call inakuwaje
 
internal call inakuwaje
Ni sauti ya ndani kabisa ambayo hukuonyesha kweli umeitwa kuwa padre....mfano unaweza ukahisi unapenda sana upadre pale tu unapoona padre anafanya tukio fulan,
Au ukiona mapadre wanaongoza misa wakiwa wengi jinsi wanyopokezana kusoma miss,
Au vile ASKOFU anavyotembea na fimbo yakee...haya yote ni vielelezo vya nje tu lakn Internal call I nakuja wakati wowote bila kuwa influenced na mazingira yanayokuzunguka
Mfano unahisi utakuwa padre wa aina gan, huna hisia za kuoa
..naomba unielewe hisia za kuoa ni tofauti na hisia za mapenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu embu acha majaribu yako asee

yani wewe umeshakaa kitaa umeonja utamu wa papuchi alafu unaongea habari za upadre...

hao masister watapona kweli huko parokiani?

simba mla nyama ya watu hawezi acha labda auliwe.... mla papuchi hawezi acha labda awe calstrated ... huna sifa za kuwa padre mkuu embu jitahidi uovercome hayo matamanio
 
Mkuu mbona sisi tunaigizaga kabisa ,kama mimi kabla sijaasi kipindi napokea komunyo ya kwanza tukiwa tunacheza mnaanza kuigiza kama padre mpaka kusalisha nilikua nasalisha.. hapo watajitokeza wanaotumikia nk[emoji23] utoto bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ahahahaa za kuoa sina ila za Mapenzi ninazo!
 
Mfano unahisi utakuwa padre wa aina gan
Nataka nikiwa Padre niruhusiwe kufanya kazi kutokana na career yangu vivo hivo na kukuhani Misa
 
Hahahaha aisee Mkuu umenichekesha..
 
Yaah enzi za utumikizi (Ministrant)
 
ahahahaa za kuoa sina ila za Mapenzi ninazo!
Kila LA kheri mkuu katika kufuata njia ya Bwana.....kama umesoma degree ya uhadisi nikushauri ingia Jesuit fathers maana wao karama yao ni uinjilishaji na elimu....utapata muda wakutumikia kanisa na pia carrier yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asantee saana Kaka.. umenipa Wazo Jipya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…