Ni sauti ya ndani kabisa ambayo hukuonyesha kweli umeitwa kuwa padre....mfano unaweza ukahisi unapenda sana upadre pale tu unapoona padre anafanya tukio fulan,
Au ukiona mapadre wanaongoza misa wakiwa wengi jinsi wanyopokezana kusoma miss,
Au vile ASKOFU anavyotembea na fimbo yakee...haya yote ni vielelezo vya nje tu lakn Internal call I nakuja wakati wowote bila kuwa influenced na mazingira yanayokuzunguka
Mfano unahisi utakuwa padre wa aina gan, huna hisia za kuoa
..naomba unielewe hisia za kuoa ni tofauti na hisia za mapenzi
Sent using
Jamii Forums mobile app