Kila nikifanya ngono na mwanamke yeyote, asubuhi lazima alalamike maumivu ya kizazi

umefanya na wangapi mkuu, maana isije kua sampuli moja tu tena ya mtaani kwako peke yake.. labda endelea kujaribu na wa mikoa mingine, shape tofauti, rangi tofauti, wakizungu labda.. ili uhakikishe kua tatizo ni wewe au wao!
Ngoja nijaribu mkuu
 
Pima

Pima urefu wa chombo chako. Kama kinazidi urefu wa kawaida itakuwa sababu . Basi tafuta mwenzi ambaye tumbo lake lnaweza pokea ujazo wa chombo chako. Vinginevyo tumia kwa uangalifu chombo chako.
Inawezekana pia ni sababu Mkuu
 
Wakubwa naileta hii mada hapa mbele yenu kwa atakaye elewa na atakaye kua anafahamu chanzo cha tatizo hili na tiba yake naomba anisaidie kwakweli sijisikii vizuri kwa kila siku mimi kulalamikiwa nahitaji kutulia na mwanamke mmoja ila inashindikana kwa sababu hizo msaada wenu wakubwa nahitaji kutambua tatizo hili ninini kwani sio kwa mwanamke mmoja kila ninaye fanya naye Mapenzi hali hii hua inamtokea lazima atasema Kizazi kinamuuma.
Kizazi ndiyo nini?
 
badili style mkuu......jaribu popo kanyea mbingu...tatizo litaisha mkuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Back
Top Bottom