Kila nikifanya ngono na mwanamke yeyote, asubuhi lazima alalamike maumivu ya kizazi

Kila nikifanya ngono na mwanamke yeyote, asubuhi lazima alalamike maumivu ya kizazi

Wakubwa naileta hii mada hapa mbele yenu kwa atakaye elewa na atakaye kua anafahamu chanzo cha tatizo hili na tiba yake naomba anisaidie kwakweli sijisikii vizuri kwa kila siku mimi kulalamikiwa nahitaji kutulia na mwanamke mmoja ila inashindikana kwa sababu hizo msaada wenu wakubwa nahitaji kutambua tatizo hili ninini kwani sio kwa mwanamke mmoja kila ninaye fanya naye Mapenzi hali hii hua inamtokea lazima atasema Kizazi kinamuuma.
tuma picha alafu unapo piga picha weka rula tukushauri kipimo
 
Wakubwa naileta hii mada hapa mbele yenu kwa atakaye elewa na atakaye kua anafahamu chanzo cha tatizo hili na tiba yake naomba anisaidie kwakweli sijisikii vizuri kwa kila siku mimi kulalamikiwa nahitaji kutulia na mwanamke mmoja ila inashindikana kwa sababu hizo msaada wenu wakubwa nahitaji kutambua tatizo hili ninini kwani sio kwa mwanamke mmoja kila ninaye fanya naye Mapenzi hali hii hua inamtokea lazima atasema Kizazi kinamuuma.
Yaelekea urefu wake kama ya Mr.Donkey, mi nadhani wape wajipimie wenyewe.
Mkuu kwa hali ya sasa si wewe tu, ni idadi kubwa ya wanawake wa sasa ukiwa nao kwenye 6*6 baada tu ya mambo flani lazima aeleze kuhusu ugonjwa wa tumbo. Hasa la chini ama vinginevyo, mwanzo nilidhani tatizo nasababisha mm lakini kadri siku zinavyozidi nagundua ya kwamba ni wanawake wengi ambao wanasumbuliwa na tumbo hasa baada ya kufanya mambo hayo. Ikiwa wapo kwenye huu uzi watatusaidia kuelewa chanzo cha tatizo hilo.
 
1.Chunguza ukubwa wa uume wako 2.Unafanya love kwa kutumia nguvu sana? 3.Nenda kwa bingwa wa magonjwa ya uzazi apime PH ya mbegu zako na maji maji yake 4.Apime kipimo cha VDRL Pia uelewe wanawake wanapendelea kufanyiwa taratibu na kwa muda mrefu sio kutwanga mahindi
 
Mkuu utakuwa hujui kumtengeneza mwanamke vizuri, huko tumboni kote unaenda Fanya nini??? Wengine tunachezaga na G- spot tu mwanamke wacha akodoe macho kama anakifaduro,

Badilika mkuu, mwanamke hahitaji kukomolewa, kumbuka sex ni starehe
 
Lol. Sitaki kucheka, wala kucomment.

........ wanawake Mungu anawaona hasa kama mnajua hamna kitu.... ila kuna kitu mnakihitaji na tarehe zenyewe ndo hizi....🙄
 
Back
Top Bottom