Kila nikifikiria Mtume Muhamad alivyorogwa sioni akifikia theluthi ya kina Musa achilia mbali Yesu

Kila nikifikiria Mtume Muhamad alivyorogwa sioni akifikia theluthi ya kina Musa achilia mbali Yesu

Umenikumbusha kisa kimoja kulikuwa ostazi mmoja bingwa wa kutoa majini kwa kisomo.
Siku moja alikutana na kisiki ambacho hata kisomo kilifua nazi sio dafu.

Wakati anapiga kisomo alinaswa kibao yani mpaka nyumba tunayo kaa ya tatu tulisikia tulijua ukuta umepigwa kibao.

Sikutaka kufika maana kwa kile kibao mpaka leo kilimbadilisha sura muelekeo
 
Naomba unionyeshe sehemu hata moja tu ambayo Shetani aliweza kumduhuru Yesu kiroho.

Yesu kwenye funga yake ya siku 40 alitamanishwa vingi sana ikiwemo kumiliki utajiri wote duniani lakini alikataa

Shetani alichoambulia ni Kupondwa kichwa

Unapoona hadi shetani anaenda mwenyewe badala ya kutumia mchawi na bado anashindwa jitathmini sana unapomsifia Muhammad kupitiliza hadhi yake.
Athari ya kihisia na kisaikolojia-alianza kujificha na AKAMUOMBA MUNGU IKIWEZEKANA AMSAIDIE KIKOMBE KIMUEPUKE.
Athari ya kimwili-aliteswa,alijeruhiwa na ALILIA AKIMUITA MUNGU,HELOI HELOI MBONA UMENIACHA?

athari ya kiroho-alikufa
 
Kurogwa ni shambulio la kiroho kwa kutumia nguvu za giza, waweza kujilinda kwa njia kadhaa ikiwemo ya uhakika ulinzi wa Mwenyezi Mungu,

Manabii na mitume walikuwa kwenye vita ya kiroho zaidi dhidi ya shetani,

shetani aliposhindwa vita ya kiroho ilikuwa aibu kwake, kilichobaki alitegemea manabii na mitume washambuliwe kimwili aidha kwa kupigwa mpaka mauti, kufungwa jela, n.k.

Jinsi Mtume Mohammad alivyopigwa kipapai

Hadithi Maarufu katika Sahih al-Bukhari (5765) na Sahih Muslim (2189) inasimulia kuwa kuna mchawi aliweza kumpiga kipapai (kumroga) Mtume Muhammad kwa kutumia nywele zake na kitana, kisha akaviweka katika kisima, alimtupia uchawi wa kumvuruga akili. Muhammad alipitia kipindi kigumu sana.

Mtume alikuwa katika hali ya kufikiri kafanya mambo fulani lakini kwa hakika hakuwa amefanya, Alipata msongo wa mawazo na hali ya kuchanganyikiwa, Alikuwa na afya njema kimwili lakini alikuwa na mzigo wa kiakili. Ni mpaka baadae aliweza kupona kama ilivyo kwa watu wengine wanaorogwa wakifanya maombo na kupiga sala.

Kwa Upande wa kina Musa tumeshaona mengi sana, kundi la wachawi wakubwa kutoka Misiri walitaka kumjaribu lakini akawaonyesha yeye ni levels nyingine ana kipawa kikubwa zaidi kutoka kwa Mungu, fimbo yake ilipogeuka kuwa nyoka ilimeza wale nyoka wote wa wachawi.

Tukija kwa Yesu hizo ni levels nyingine kabisa, Shetani hakutumia wachawi alienda mwenyewe direc, Alimjaribu kwa kila kitu lakini hakufua dafu, vita ya kiroho dhidi ya Yesu ilimfedhehesha vibaya mno.

Nampa heshima zote Mtume Mohammad kwasababu anazistahili lakini apewe heshima kulingana na hali yake, sio sawa anavyotukuzwa kupitiliza
Cjui Nia Yako ila sizani kama uko sahihi kufanya milinganisho ya matatizo Kwa manabii au mitume
Kila mtu anamatatizo yake na changamoto zake
 
Umenikumbusha kisa kimoja kulikuwa ostazi mmoja bingwa wa kutoa majini kwa kisomo.
Siku moja alikutana na kisiki ambacho hata kisomo kilifua nazi sio dafu.

Wakati anapiga kisomo alinaswa kibao yani mpaka nyumba tunayo kaa ya tatu tulisikia tulijua ukuta umepigwa kibao.

Sikutaka kufika maana kwa kile kibao mpaka leo kilimbadilisha sura muelekeo
😂😂
 
Athari ya kihisia na kisaikolojia-alianza kujificha na AKAMUOMBA MUNGU IKIWEZEKANA AMSAIDIE KIKOMBE KIMUEPUKE.
Athari ya kimwili-aliteswa,alijeruhiwa na ALILIA AKIMUITA MUNGU,HELOI HELOI MBONA UMENIACHA?

athari ya kiroho-alikufa
Unazunguka sana, ni wapi alishambuliwa kiroho aidha aliingia tamaa kukubali majaribu ya shetani au kurogwa ??

Njia pekee aliyoumizwa ni kimwili tu, shetani alishindwa vita ya kiroho.
 
Unazunguka sana, ni wapi alishambuliwa kiroho aidha aliingia tamaa kukubali majaribu ya shetani au kurogwa ??

Njia pekee aliyoumizwa ni kimwili tu, shetani alishindwa vita ya kiroho.
Sasa ndo atembezwe uchi
 
Vipi kuhusu yesu wetu aliyechukuliwa kabisa na shetani na kupelekwa hadi kuzimu kwa lengo la kumjaribu?
Kama aliweza kumchukua angetaka kumzuru angeshindwa?

Ayubu je?

Yesu huyu huyu aliyeuzwa na yuda licha ya kujificha lakini akazidiwa maarifa na yuda?

Musa huyu huyu aliyetembea safari ya siku moja kwa miaka kibao?

Sio kila jaribu unalopitia hata wewe linamaanisha kuwa wewe ni dhaifu,muda mwingine wewe unakua ndio kitabu ili wengine wasome na kujifunza kupitia wewe!
na mitume wote ni walimu kiasili,maisha yao ni darasa kwa wafuasi wao!
Aaah siwabezi mitume wote,ila kila lilowatokea mwishoni ndio kulitoa tafsiri na lengo!
Yesu ilimpasa kufa hivyo, Kwa kupigwa kwake sisi tumepona, asingekufa YESU KRISTO mpaka sahizi tungekuwa bado tunatoa sadaka ya kuteketeza wanyama, mkifanya kosa Mungu anashusha adhabu yake bila kupepesa macho
 
Si kweli
 
Vipi kuhusu yesu wetu aliyechukuliwa kabisa na shetani na kupelekwa hadi kuzimu kwa lengo la kumjaribu?
Kama aliweza kumchukua angetaka kumzuru angeshindwa?

Ayubu je?

Yesu huyu huyu aliyeuzwa na yuda licha ya kujificha lakini akazidiwa maarifa na yuda?

Musa huyu huyu aliyetembea safari ya siku moja kwa miaka kibao?

Sio kila jaribu unalopitia hata wewe linamaanisha kuwa wewe ni dhaifu,muda mwingine wewe unakua ndio kitabu ili wengine wasome na kujifunza kupitia wewe!
na mitume wote ni walimu kiasili,maisha yao ni darasa kwa wafuasi wao!
Aaah siwabezi mitume wote,ila kila lilowatokea mwishoni ndio kulitoa tafsiri na lengo!
Well said
 
Back
Top Bottom