Kila nikifikiria Mtume Muhamad alivyorogwa sioni akifikia theluthi ya kina Musa achilia mbali Yesu

Umenikumbusha kisa kimoja kulikuwa ostazi mmoja bingwa wa kutoa majini kwa kisomo.
Siku moja alikutana na kisiki ambacho hata kisomo kilifua nazi sio dafu.

Wakati anapiga kisomo alinaswa kibao yani mpaka nyumba tunayo kaa ya tatu tulisikia tulijua ukuta umepigwa kibao.

Sikutaka kufika maana kwa kile kibao mpaka leo kilimbadilisha sura muelekeo
 
Athari ya kihisia na kisaikolojia-alianza kujificha na AKAMUOMBA MUNGU IKIWEZEKANA AMSAIDIE KIKOMBE KIMUEPUKE.
Athari ya kimwili-aliteswa,alijeruhiwa na ALILIA AKIMUITA MUNGU,HELOI HELOI MBONA UMENIACHA?

athari ya kiroho-alikufa
 
Watu wa dini mna matatizo sana sijui kwann

Ramadhani Kareem, kwaresma njema
 
Cjui Nia Yako ila sizani kama uko sahihi kufanya milinganisho ya matatizo Kwa manabii au mitume
Kila mtu anamatatizo yake na changamoto zake
 
😂😂
 
Athari ya kihisia na kisaikolojia-alianza kujificha na AKAMUOMBA MUNGU IKIWEZEKANA AMSAIDIE KIKOMBE KIMUEPUKE.
Athari ya kimwili-aliteswa,alijeruhiwa na ALILIA AKIMUITA MUNGU,HELOI HELOI MBONA UMENIACHA?

athari ya kiroho-alikufa
Unazunguka sana, ni wapi alishambuliwa kiroho aidha aliingia tamaa kukubali majaribu ya shetani au kurogwa ??

Njia pekee aliyoumizwa ni kimwili tu, shetani alishindwa vita ya kiroho.
 
hii thread ina kitu... Itafika mbali.
 
Unazunguka sana, ni wapi alishambuliwa kiroho aidha aliingia tamaa kukubali majaribu ya shetani au kurogwa ??

Njia pekee aliyoumizwa ni kimwili tu, shetani alishindwa vita ya kiroho.
Sasa ndo atembezwe uchi
 
Yesu ilimpasa kufa hivyo, Kwa kupigwa kwake sisi tumepona, asingekufa YESU KRISTO mpaka sahizi tungekuwa bado tunatoa sadaka ya kuteketeza wanyama, mkifanya kosa Mungu anashusha adhabu yake bila kupepesa macho
 
Si kweli
 
Well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…