The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,071
- 1,361
DuuuuHabari zenu wana Jf
Nina tatizo moja hivi yaani kila nikiaanza kuingiwa na hofu huwa najikuta shatoa manii napiizii yanatoka yenyewe automatically nashindwa kujizuia jamani hii ni tatizo au ni hali ya kawaida??.
msaada mkuu hii hali siipendi inanitesaaDuuuu
Kwa nini waigniwa na hofu? Hiyo hofu inakutoke mara kwa mara au mpaka kuwe na hali ya hatari?Nina tatizo moja hivi yaani kila nikiaanza kuingiwa na hofu
nilidhani ni ugonjwa mkuuhyo inatokea hatq mm ila huwa simwagi bali unaona kabsa znataka kutoka lakn hilo la kwako limezdi ila usihofu inatokana na uwoga tu
sio mara kwa mara mpka kwenye hali ya hatari yaani ambapo naona hapa no way out ndo hyo hali inanitokeaaKwa nini waigniwa na hofu? Hiyo hofu inakutoke mara kwa mara au mpaka kuwe na hali ya hatari?
Huenda unakabiliwa na ugonjwa wa hofu unaitwa, 'Anxiety Disorder'. Google kufahamu zaidi.
daah kama mimi mkuu ndo huwa inanitokeaga kama wewe daaah mimi nilidhani ni ugonjwa aiseeHiyo ni hali ya kawaida, hata mimi ilishawahi kunitokea kipindi niko shule nafanya mtihani, msimamizi akitaja dakika za majeruhi bado dakika 5,4,3,2 au 1 halafu ukute sijamaliza maswali na mtihani ulikuwa jiwe basi najikuta mzee baba kashafanya yake kutokana na hofu
Joseverest umetisha sana,huo uoga cjapata kuusikiaHiyo ni hali ya kawaida, hata mimi ilishawahi kunitokea kipindi niko shule nafanya mtihani, msimamizi akitaja dakika za majeruhi bado dakika 5,4,3,2 au 1 halafu ukute sijamaliza maswali na mtihani ulikuwa jiwe basi najikuta mzee baba kashafanya yake kutokana na hofu
AAAH MWANANGU ACHA TU ENZI HIZO ZA KUSOMA ILIKUWA SHIDAJoseverest umetisha sana,huo uoga cjapata kuusikia
SIO UGONJWA HATA NI ILE HOFU/WOGA TUdaah kama mimi mkuu ndo huwa inanitokeaga kama wewe daaah mimi nilidhani ni ugonjwa aisee
Hiyo ni hali ya kawaida, hata mimi ilishawahi kunitokea kipindi niko shule nafanya mtihani, msimamizi akitaja dakika za majeruhi bado dakika 5,4,3,2 au 1 halafu ukute sijamaliza maswali na mtihani ulikuwa jiwe basi najikuta mzee baba kashafanya yake kutokana na hofu
Sasa siku mkikutana na simba usiku si ndio mtakunya kabisa! [emoji23][emoji23]
daah kama mimi mkuu ndo huwa inanitokeaga kama wewe daaah mimi nilidhani ni ugonjwa aisee