Queenever
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,051
- 3,018
Kiroho unakua unasex na jini mahaba,,,linapitia tu kwenye hofu ili usihisi kama ni jini mahabaNdio alafu una relaxx akili inakaa sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiroho unakua unasex na jini mahaba,,,linapitia tu kwenye hofu ili usihisi kama ni jini mahabaNdio alafu una relaxx akili inakaa sawa.
Mjomba huwa anasimama kabisa kwa muda huo au yanatoka akiwa amejilalia zake??Hiyo ni hali ya kawaida, hata mimi ilishawahi kunitokea kipindi niko shule nafanya mtihani, msimamizi akitaja dakika za majeruhi bado dakika 5,4,3,2 au 1 halafu ukute sijamaliza maswali na mtihani ulikuwa jiwe basi najikuta mzee baba kashafanya yake kutokana na hofu
Naunga hoja mkono kwa asilimia zoteHiyo ni hali ya kawaida, hata mimi ilishawahi kunitokea kipindi niko shule nafanya mtihani, msimamizi akitaja dakika za majeruhi bado dakika 5,4,3,2 au 1 halafu ukute sijamaliza maswali na mtihani ulikuwa jiwe basi najikuta mzee baba kashafanya yake kutokana na hofu
Nimepizi sana chumba cha mtihani....Naunga hoja mkono kwa asilimia zote
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Zinatoka kimyakimya au unaisikia na ladha...?
Umenikum busha ..... PENS DOWN.... kwenye chumba cha mtihaniHabari zenu wana Jf
Nina tatizo moja hivi yaani kila nikiaanza kuingiwa na hofu huwa najikuta shatoa manii napiizii yanatoka yenyewe automatically nashindwa kujizuia jamani hii ni tatizo au ni hali ya kawaida??.
Nilipofungua uzi, nilitarajia nikutane na jibu la namna hii, kama Joseverest alivyolisheresha.Nimepizi sana chumba cha mtihani....
Basi epuka kuangalia filamu za ponografiaSio kweli mm tabia ya kujichua sinagaa
Hahaa .Hiyo ni hali ya kawaida, hata mimi ilishawahi kunitokea kipindi niko shule nafanya mtihani, msimamizi akitaja dakika za majeruhi bado dakika 5,4,3,2 au 1 halafu ukute sijamaliza maswali na mtihani ulikuwa jiwe basi najikuta mzee baba kashafanya yake kutokana na hofu
HV kijana ulisoma wapi ishawahi mtokea rafiki yangu Chuo Sana hiyo nikiona anajibana bana wakati tunatoka kwenye mtihan najua jamaa tayari kafanya maduduHiyo ni hali ya kawaida, hata mimi ilishawahi kunitokea kipindi niko shule nafanya mtihani, msimamizi akitaja dakika za majeruhi bado dakika 5,4,3,2 au 1 halafu ukute sijamaliza maswali na mtihani ulikuwa jiwe basi najikuta mzee baba kashafanya yake kutokana na hofu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Zinatoka kimyakimya au unaisikia na ladha...?
Hii hali haipo tena mkuu aisee nashukuru Mungu imeishaHahaa .
Pole sana brooh! Hope haipo tena hiyo hali.
Yaani mkuu enzi hizo ilikuwa ni balaaNilipofungua uzi, nilitarajia nikutane na jibu la namna hii, kama Joseverest alivyolisheresha.
Yaani jose kaelezea hatua zote ambazo baadhi ya wasimamizi wanapenda kutaja taja dakika za majeruhi, hapo ndio huwa kimbembe kinatokea
Hapahapa Tanzania mkuu, Kanda ya kaskazini na kusiniHV kijana ulisoma wapi ishawahi mtokea rafiki yangu Chuo Sana hiyo nikiona anajibana bana wakati tunatoka kwenye mtihan najua jamaa tayari kafanya madudu
Hii ilinisumbua sana enzi hizo mkuu daaahNaunga hoja mkono kwa asilimia zote
NI HALI YA KAWAIDA MKUU ILA KWAKO SI HAIPO TENA?hali hii pia imenitokea sana hasa nilipokuwa nafanya UE dah