Kila nikiingiwa na hofu natokwa manii. Je, ni hali ya kawaida au ugonjwa?

Hiyo ni hali ya kawaida, hata mimi ilishawahi kunitokea kipindi niko shule nafanya mtihani, msimamizi akitaja dakika za majeruhi bado dakika 5,4,3,2 au 1 halafu ukute sijamaliza maswali na mtihani ulikuwa jiwe basi najikuta mzee baba kashafanya yake kutokana na hofu
Mjomba huwa anasimama kabisa kwa muda huo au yanatoka akiwa amejilalia zake??
 
Hiyo ni hali ya kawaida, hata mimi ilishawahi kunitokea kipindi niko shule nafanya mtihani, msimamizi akitaja dakika za majeruhi bado dakika 5,4,3,2 au 1 halafu ukute sijamaliza maswali na mtihani ulikuwa jiwe basi najikuta mzee baba kashafanya yake kutokana na hofu
Naunga hoja mkono kwa asilimia zote
 
Habari zenu wana Jf

Nina tatizo moja hivi yaani kila nikiaanza kuingiwa na hofu huwa najikuta shatoa manii napiizii yanatoka yenyewe automatically nashindwa kujizuia jamani hii ni tatizo au ni hali ya kawaida??.
Umenikum busha ..... PENS DOWN.... kwenye chumba cha mtihani
 
Hiyo ni hali ya kawaida, hata mimi ilishawahi kunitokea kipindi niko shule nafanya mtihani, msimamizi akitaja dakika za majeruhi bado dakika 5,4,3,2 au 1 halafu ukute sijamaliza maswali na mtihani ulikuwa jiwe basi najikuta mzee baba kashafanya yake kutokana na hofu
Hahaa .

Pole sana brooh! Hope haipo tena hiyo hali.
 
Hiyo ni hali ya kawaida, hata mimi ilishawahi kunitokea kipindi niko shule nafanya mtihani, msimamizi akitaja dakika za majeruhi bado dakika 5,4,3,2 au 1 halafu ukute sijamaliza maswali na mtihani ulikuwa jiwe basi najikuta mzee baba kashafanya yake kutokana na hofu
HV kijana ulisoma wapi ishawahi mtokea rafiki yangu Chuo Sana hiyo nikiona anajibana bana wakati tunatoka kwenye mtihan najua jamaa tayari kafanya madudu
 
Mimi ilinitokea Udsm Coet miaka 6 iliyopita. Pepa lilikuwa halisogei kabisa. Nikajikuta nafika mshindo.
 
Kwa mantiki hiyo uwoga wewe unakupa raha kupeleka kutoa manii...

Pole sana...

Cc: mahondaw
 
Nilipofungua uzi, nilitarajia nikutane na jibu la namna hii, kama Joseverest alivyolisheresha.

Yaani jose kaelezea hatua zote ambazo baadhi ya wasimamizi wanapenda kutaja taja dakika za majeruhi, hapo ndio huwa kimbembe kinatokea
Yaani mkuu enzi hizo ilikuwa ni balaa
 
HV kijana ulisoma wapi ishawahi mtokea rafiki yangu Chuo Sana hiyo nikiona anajibana bana wakati tunatoka kwenye mtihan najua jamaa tayari kafanya madudu
Hapahapa Tanzania mkuu, Kanda ya kaskazini na kusini
 
Back
Top Bottom