NothinGold
Member
- Nov 2, 2019
- 56
- 216
- Thread starter
-
- #181
Aisee, wanaume tunapitia magumu sana, pole brother ila kwa story hii, someone else has to learn what comes from really love. Shukuuru tu Mungu kwamba aliamua kufanya hivo mapema, imagine if you had had accumulated alot of wealth ndio akaamua kufanya hivo..or the most she could kill you to give her space to dominate the territory. Thank God and forget all about that
Nimrkupata MkubwaMkuu hakuna sababu nyingine, migingano ilianza baada ya hyo sms, akaenda kwao nikamfuta nikamuomba msamaha mbele ya mama yake yakaisha.
Labda marafiki walimponza maana kuna baadhi ya marafiki ambao nilikuwa namuonya sana aachane nao. Ila baada ya kuuza vitu kwa taarifa zisizo rasmi ndo alikuwa anaambatana nao ila baadae wakja kukorofishana sana, sijui ni baada ya hela aliyouza vitu kutisha , sijui
Lakini mkuu Unajua bila wewe kuchepuka yote haya yasingetokea????[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]
Ninaelewa unachokipitia kwa sasa ila unachotakiwa kujua ni kuwa wewe sio wa kwanza kufanyiwa hayo na wala hutokuwa wa mwisho, muhimu ni kurudi nyuma na kujua kuwa lazima maisha yaendelee, ulikuwa unaishi kabla ya kukutana na huyo mwanamke na hopeful unaweza kuendelea na maisha bila yeye, muombe Mungu utafanikiwa.Sawa nitajitahidi Mkuu, ila dah, unajitoa kwa mtu 100% halafu inakuja kukufanyia hv, inauma sana Mkuu we acha tu sikia kwa wengine tu.
Duuuuuhhhh haya mambo ya familia haya, kuna ulazima mkubwa sana wa wazazi au viongozi wa dini hata na serikali waliangalie hili suala kwa ukaribu zaidi, maana siku hizi kwakweli ni balaa, na kwa hali hii mauaji ya kimapenzi iwe ndoa au wanaishi pamoja tu au wamezaa tu hayataisha kwakweli. Dunia hii basi tu, huyo mwanamke nadhani kuna mda anakumbuka sana maisha yale anajuta sana ila ndo hivyo maji yakimwagika. Hili liwe fundisho kwetu sote wanawake na wanaume pia.
Ninaelewa unachokipitia kwa sasa ila unachotakiwa kujua ni kuwa wewe sio wa kwanza kufanyiwa hayo na wala hutokuwa wa mwisho, muhimu ni kurudi nyuma na kujua kuwa lazima maisha yaendelee, ulikuwa unaishi kabla ya kukutana na huyo mwanamke na hopeful unaweza kuendelea na maisha bila yeye, muombe Mungu utafanikiwa.
The last statement on your speech means a lot, life must go on no matter what.Asante sana Mkuu kwa Ushauri, ni kweli maisha Lazima yaendelee.
Hukukosea, mwanaume kuchepuka ni suala la kawaida!!Mkuu nilikosea nikaomba msamaha mwenzangu akaniambia yameisha, zaidi ya yote hata baada ya yeye kuuza vitu nilijaribu Kufanya kila nililohisi litasadia yeye kurudi na tuendelee na maisha ila mwenzangu akakataa.
Nahisi baada ya kuuza vile vitu na kupata hela alidhani maisha ameyapatia ndo maana alikuwa anamjibu kila mtu shit.
Ila Mkuu trust me nilifanya bidii Zote z kumrudisha ila ikashindikana. Sasa sijui ningefanyeje zaidi ya hapo.
Vip mkuu nafasi IPO wazi?Pole sana...umeoa sasa au hautaman hata kuoa tena
Nimesoma story yote jana, nikashindwa kucomment chochote. Leo wacha niseme chochote, kwanza nimeona story imeanza kwa kujisifu sana. Hata vitu visivyo na msingi wa kujisifu.
Mtanisamehe na utanisamehe, it seems like wewe kila kitu chako ni kizuri. Inawezekana umekuwa unampush huyo mwanamke away kwenye ndoa. Maana hata kosa la kuchepuka inaonekana unalidownplay, kama yalikuwa zito sana.
Kwenye somo la history tulisoma kuna longterm causes za vita, and ignition causes za vita. Inawezekana hilo la wewe kuchepuka ndio lilikuwa ni ignition point, ila kuna mengi ulikuwa unamfanyia akawa anavunga.
Inaonekana ulikuwa unamtreat kama mtu ambaye hana akili. Kwa sababu una hela na una maisha mazuri, na yeye kwao hawana maisha mazuri ukahisi atavumilia tu.
Kuishi na mtu ambaye s/he looks down on you ni very toxic and not healthy for any relationship.Na kuna watu huwa wanaona kila kitu cha kwao ni kizuri.
Ngoja niishie hapa na nisiandike mengi kama wewe.

Ndio shida ya kutoka kwenye familia za mitala kila kitu unaona kawaida. Nashukuru mtoa post tunaelewana. Nenda kafanye mtihani wenzako wanaanza Leo. Utakapo kuwa utajua nasema nini.Ww ndyo mpumbavu tena mpumbavu wa mwisho yani ukute SMS moja kwenye simu yangu ndyo urudi kwenu au uuze vitu alafu c kila aliyezaa anaweza kulea hakuna cha kumlaumu mwanaume apo ata kidogo ukijua nature ya wanaume wala huwezi kulaumu mwanamke ni mpumbavu ndyo maana akakimbia penzi lake na kuona mwanaume hana lolote
Narudia kwambia kwa Mara nyingine unaandika kitu usichokijua, sioni umuhimu wa kubishana na wewe kwenye hili. Nimempa angalizo na nafikiri kaelewa nilichomwandika maamuzi yake ya Leo yanaleta drama ya kesho. Hutakaa ukadhurika kwa kusamehe ila kunaathari kubwa kwa kutosamahe. Nikisoma katika ya maandishi yako naweza ona ulivyo na sitakosea nikisema wewe ni mtu mwenye kinyongo sana na unayependa kukuza mambo. Dunia haiendi hivyo mkuuKwani mama wa kambo ni sumu nani kakwambia mama wote wakambo ni wabaya mm sijalelewa na mama yangu lakin nimeishi vizuri tu acha imani za kijinga nani kakwambia nyoka anaweza kuwa samaki si kila uliyezaa naye anafaa kuolewa naye na si kila uliyemuoa mtafika tamati ya kufa na kuzikana kama hupati furaha moyoni na uliyenaye kwanini umuuwe dunia ikakulaumu c bora umuache kwa amani na mbigu itakusifu
Effect ya kulelewa na Mzazi mmoja ipo hapo;hata watoto wako watakua na tatizo la malezi kwa kutokua raised na Wazazi;Oa Mkuu uishi na watoto wako la sivyo na wewe utapata mashtaka mengi ya wakwe zako in futureDuuu, haya bwana ndoja tu nifunguke. Originally ni watu wa kigoma (Wamanyema) ila yeye kazaliwa tanga maana maisha ya wazazi wao kwa muda mrefu wameishi tanga, baba yao alikuwa driver wa bus, ila nahisi kuna mzazi Mmoja ana asili ya kitusi maana hata yeye ana sura ya kitusi kwa mbali.
Hata msichana Wetu wa kazi wakati huo alikuwaga namfananisha na demu Mmoja wa ile kwaya ya Rwanda Ambassadors of Christ sijui, walioimba "kwetu pazuri"
Mama yake mpole sana sana, ila sijui labda kwa vile sijawai kaa naye sana ila hata kwa muonekano ni mpole sana. Hata huyo mwanamke kimuonekano ni mpole.
Dini ni mkatoliki, ila mimi ni mlutheri na baada ya kuanza kuishi pamoja alikuwa anasali Lutheran.
Walipokuwa wanaishi sio uswahilini, baba yake alifariki akiwa bado Mdogo, na yeye walizaliwa mapacha ila Bahati mbaya Pacha mwenzake alifariki.
Inatosha nadhani mkuu
Sasa mkuu kama huyo Dada alikuwa mistreated kwann akaombe msamaha sasa hv!?Nimesoma story yote jana, nikashindwa kucomment chochote. Leo wacha niseme chochote, kwanza nimeona story imeanza kwa kujisifu sana. Hata vitu visivyo na msingi wa kujisifu.