Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

Aisee, wanaume tunapitia magumu sana, pole brother ila kwa story hii, someone else has to learn what comes from really love. Shukuuru tu Mungu kwamba aliamua kufanya hivo mapema, imagine if you had had accumulated alot of wealth ndio akaamua kufanya hivo..or the most she could kill you to give her space to dominate the territory. Thank God and forget all about that

Roger that boss
 
Mkuu hakuna sababu nyingine, migingano ilianza baada ya hyo sms, akaenda kwao nikamfuta nikamuomba msamaha mbele ya mama yake yakaisha.

Labda marafiki walimponza maana kuna baadhi ya marafiki ambao nilikuwa namuonya sana aachane nao. Ila baada ya kuuza vitu kwa taarifa zisizo rasmi ndo alikuwa anaambatana nao ila baadae wakja kukorofishana sana, sijui ni baada ya hela aliyouza vitu kutisha , sijui
Nimrkupata Mkubwa

Bazazi
 
Lakini mkuu Unajua bila wewe kuchepuka yote haya yasingetokea????[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]

Inawezekana yangetokea tu, who knows. Mkuu nilimuomba mwenzangu msamaha mbele ya mama yake, yakawa yameisha. Sasa sijui hapa nilitakiwa nifanye nini. Na kama alishaamua aachane na mimi sababu ya kuchepuka, angefungasha tu kilicho vhake Vya kwangu akaniachia Mkuu au?
 
Sawa nitajitahidi Mkuu, ila dah, unajitoa kwa mtu 100% halafu inakuja kukufanyia hv, inauma sana Mkuu we acha tu sikia kwa wengine tu.
Ninaelewa unachokipitia kwa sasa ila unachotakiwa kujua ni kuwa wewe sio wa kwanza kufanyiwa hayo na wala hutokuwa wa mwisho, muhimu ni kurudi nyuma na kujua kuwa lazima maisha yaendelee, ulikuwa unaishi kabla ya kukutana na huyo mwanamke na hopeful unaweza kuendelea na maisha bila yeye, muombe Mungu utafanikiwa.
 
Duuuuuhhhh haya mambo ya familia haya, kuna ulazima mkubwa sana wa wazazi au viongozi wa dini hata na serikali waliangalie hili suala kwa ukaribu zaidi, maana siku hizi kwakweli ni balaa, na kwa hali hii mauaji ya kimapenzi iwe ndoa au wanaishi pamoja tu au wamezaa tu hayataisha kwakweli. Dunia hii basi tu, huyo mwanamke nadhani kuna mda anakumbuka sana maisha yale anajuta sana ila ndo hivyo maji yakimwagika. Hili liwe fundisho kwetu sote wanawake na wanaume pia.

Sijisifu Mkuu ila kwa kiasi maisha yalikuwa Kwenye mstari,
 
Ninaelewa unachokipitia kwa sasa ila unachotakiwa kujua ni kuwa wewe sio wa kwanza kufanyiwa hayo na wala hutokuwa wa mwisho, muhimu ni kurudi nyuma na kujua kuwa lazima maisha yaendelee, ulikuwa unaishi kabla ya kukutana na huyo mwanamke na hopeful unaweza kuendelea na maisha bila yeye, muombe Mungu utafanikiwa.

Asante sana Mkuu kwa Ushauri, ni kweli maisha Lazima yaendelee.
 
Mkuu nilikosea nikaomba msamaha mwenzangu akaniambia yameisha, zaidi ya yote hata baada ya yeye kuuza vitu nilijaribu Kufanya kila nililohisi litasadia yeye kurudi na tuendelee na maisha ila mwenzangu akakataa.

Nahisi baada ya kuuza vile vitu na kupata hela alidhani maisha ameyapatia ndo maana alikuwa anamjibu kila mtu shit.

Ila Mkuu trust me nilifanya bidii Zote z kumrudisha ila ikashindikana. Sasa sijui ningefanyeje zaidi ya hapo.
Hukukosea, mwanaume kuchepuka ni suala la kawaida!!
Ishu ya kuuza vitu vya ndani ni wizi kama wiz i mwingine, bad enough wakaungana kukutukana! Kwa experience yangu inawezekana kuwa walikaa kikao wakakubaliana, huyo mwanamke alipata mtu mwingine!!!

Nilishawahi kutukanwa na mtu akishirikiana na dada zake January 2014. Akaolewa! Leo hii aliyenitukana ni kichaa(so sad)
 
Kweli wanaume tumeumbwa mateso wanawake wengine ni mitihani aisee... sitaruhusu tena moyo wangu uteleze kumpenda na kumuamini mwanamke coz lile picha dogo tu nililokutana nalo nilihisi roho inatoka kidogokidogo namshkuru mungu ssaiv nimeshasahau am happy again and am in full controf of my feelings.. pole sana mtoa mada ulipewa mtihani mkubwa sana kwa kiasi kikubwa ulifaulu na umepata funzo ulifanya vyema kulet go ungesema utake action believe me leo usingekuwa hapa
 
Nimesoma story yote jana, nikashindwa kucomment chochote. Leo wacha niseme chochote, kwanza nimeona story imeanza kwa kujisifu sana. Hata vitu visivyo na msingi wa kujisifu.

Mtanisamehe na utanisamehe, it seems like wewe kila kitu chako ni kizuri. Inawezekana umekuwa unampush huyo mwanamke away kwenye ndoa. Maana hata kosa la kuchepuka inaonekana unalidownplay, kama yalikuwa zito sana.

Kwenye somo la history tulisoma kuna longterm causes za vita, and ignition causes za vita. Inawezekana hilo la wewe kuchepuka ndio lilikuwa ni ignition point, ila kuna mengi ulikuwa unamfanyia akawa anavunga.

Inaonekana ulikuwa unamtreat kama mtu ambaye hana akili. Kwa sababu una hela na una maisha mazuri, na yeye kwao hawana maisha mazuri ukahisi atavumilia tu.

Kuishi na mtu ambaye s/he looks down on you ni very toxic and not healthy for any relationship.Na kuna watu huwa wanaona kila kitu cha kwao ni kizuri.

Ngoja niishie hapa na nisiandike mengi kama wewe.
 
Sawa Mkuu naheshimu Mawazo yako, je kulikuwa na haja gani yeye kuuza vitu vyangu kama alikuwa ameamua kuachana na mimi kwa sababu ulizozitoa.

Hivi unaweza ukawa unamdharau mtu kwa hali yake au kwa hali ya kwao huku ukawa anafanya bidii ya kumsaidia Kutoka Kwenye ile hali au kumsaidia wakao Kutoka Kwenye ihyo hali? Sidhani.

Na kama aliamua kuondoka kwa sababu nilikuwa namtreat kama mtu asiye na akili je alipotaka kurudi alishapata akili kwa hyo ninhemtreat kama ana akili na familia yao ilishapata maisha mzuri?

Swla la kuchepuka Sawa unaweza kuwa ndo ulikuwa ignition point kama unavyosema, ila nilimuomba msamaha na yeye akasema yameisha tena mbele ya mama yake.

Kwa suala la kujisifu sorry kama limekukwaza, labda ungesikia nilikuwa naishi Kwenye chumba kimoja cha uani ungefurani, sorry Mkuu.

Nirudie tena huwezi ukamdharau mtu kwa hali yake halafu ukajitahidi kumtoa Kwenye hyo hali.
 
Nimesoma story yote jana, nikashindwa kucomment chochote. Leo wacha niseme chochote, kwanza nimeona story imeanza kwa kujisifu sana. Hata vitu visivyo na msingi wa kujisifu.

Mtanisamehe na utanisamehe, it seems like wewe kila kitu chako ni kizuri. Inawezekana umekuwa unampush huyo mwanamke away kwenye ndoa. Maana hata kosa la kuchepuka inaonekana unalidownplay, kama yalikuwa zito sana.

Kwenye somo la history tulisoma kuna longterm causes za vita, and ignition causes za vita. Inawezekana hilo la wewe kuchepuka ndio lilikuwa ni ignition point, ila kuna mengi ulikuwa unamfanyia akawa anavunga.

Inaonekana ulikuwa unamtreat kama mtu ambaye hana akili. Kwa sababu una hela na una maisha mazuri, na yeye kwao hawana maisha mazuri ukahisi atavumilia tu.

Kuishi na mtu ambaye s/he looks down on you ni very toxic and not healthy for any relationship.Na kuna watu huwa wanaona kila kitu cha kwao ni kizuri.

Ngoja niishie hapa na nisiandike mengi kama wewe.

Of course hii ignition cause ndiyo msingi kwenye Story hii,

kuna wakati unaweza ukawa chanzo cha tatizo lakini ukawa unaona perfection tu peke yake kwa upande wako asikwambie mtu kwenye mahusiano wewe ukiwa hausaliti/ haulali nje ya ndoa au mahusiano lakini mwenzio anafanya na umemkamata na ushahidi inaumiza sana kiakili

Pia shida ya Mfumo inatumaliza na kusikia kwa misemo, hata kusoma vitabuni na kwenye habari kwamba sisi wanaume kwa namna moja au nyingine tuna haki au usahihi kwa kusaliti sababu ya nature na vitu vingine kama hivyo hii imekuwa sababu ya migogoro mingi na visa vingi sana kwenye mahusiano.

Japo pia umaliziaji wa hawa dada zetu, wanawake, umaliziaji wao unakuwaga mbaya sana. Utakuta kweli yeye ndiye ameanza kufanyiwa ubaya lakini alivyo malizia sasa

Kisa hiki kinafanana sana na kisa kilichowahi kumtokea Ndugu yangu wa damu, ambaye na yeye mwanamke aliuza kila kitu na kukimbia na mtoto, nakumbuka nilihusika kumfatilia nijue anaishi wapi baada ya kumuona akiwa kwenye dhohofu i hali yeye na mtoto ili tuchukue mtoto

Lakini wanafamilia wote, marafiki, majirani wanamuona aliyekosea ni yeye mwanamke ijapokuwa utakuta ndugu yangu mwanamme mwenzangu ndiye alikuwa chanzo na kuanzisha ugomvi. SABABU MWANAMKE KAMALIZIA VIBAYA

TUJITAHIDI TUSIWE CHANZO
 
Ww ndyo mpumbavu tena mpumbavu wa mwisho yani ukute SMS moja kwenye simu yangu ndyo urudi kwenu au uuze vitu alafu c kila aliyezaa anaweza kulea hakuna cha kumlaumu mwanaume apo ata kidogo ukijua nature ya wanaume wala huwezi kulaumu mwanamke ni mpumbavu ndyo maana akakimbia penzi lake na kuona mwanaume hana lolote
Ndio shida ya kutoka kwenye familia za mitala kila kitu unaona kawaida. Nashukuru mtoa post tunaelewana. Nenda kafanye mtihani wenzako wanaanza Leo. Utakapo kuwa utajua nasema nini.
 
Kwani mama wa kambo ni sumu nani kakwambia mama wote wakambo ni wabaya mm sijalelewa na mama yangu lakin nimeishi vizuri tu acha imani za kijinga nani kakwambia nyoka anaweza kuwa samaki si kila uliyezaa naye anafaa kuolewa naye na si kila uliyemuoa mtafika tamati ya kufa na kuzikana kama hupati furaha moyoni na uliyenaye kwanini umuuwe dunia ikakulaumu c bora umuache kwa amani na mbigu itakusifu
Narudia kwambia kwa Mara nyingine unaandika kitu usichokijua, sioni umuhimu wa kubishana na wewe kwenye hili. Nimempa angalizo na nafikiri kaelewa nilichomwandika maamuzi yake ya Leo yanaleta drama ya kesho. Hutakaa ukadhurika kwa kusamehe ila kunaathari kubwa kwa kutosamahe. Nikisoma katika ya maandishi yako naweza ona ulivyo na sitakosea nikisema wewe ni mtu mwenye kinyongo sana na unayependa kukuza mambo. Dunia haiendi hivyo mkuu
 
Duuu, haya bwana ndoja tu nifunguke. Originally ni watu wa kigoma (Wamanyema) ila yeye kazaliwa tanga maana maisha ya wazazi wao kwa muda mrefu wameishi tanga, baba yao alikuwa driver wa bus, ila nahisi kuna mzazi Mmoja ana asili ya kitusi maana hata yeye ana sura ya kitusi kwa mbali.

Hata msichana Wetu wa kazi wakati huo alikuwaga namfananisha na demu Mmoja wa ile kwaya ya Rwanda Ambassadors of Christ sijui, walioimba "kwetu pazuri"

Mama yake mpole sana sana, ila sijui labda kwa vile sijawai kaa naye sana ila hata kwa muonekano ni mpole sana. Hata huyo mwanamke kimuonekano ni mpole.

Dini ni mkatoliki, ila mimi ni mlutheri na baada ya kuanza kuishi pamoja alikuwa anasali Lutheran.

Walipokuwa wanaishi sio uswahilini, baba yake alifariki akiwa bado Mdogo, na yeye walizaliwa mapacha ila Bahati mbaya Pacha mwenzake alifariki.

Inatosha nadhani mkuu
Effect ya kulelewa na Mzazi mmoja ipo hapo;hata watoto wako watakua na tatizo la malezi kwa kutokua raised na Wazazi;Oa Mkuu uishi na watoto wako la sivyo na wewe utapata mashtaka mengi ya wakwe zako in future
 
Nimesoma story yote jana, nikashindwa kucomment chochote. Leo wacha niseme chochote, kwanza nimeona story imeanza kwa kujisifu sana. Hata vitu visivyo na msingi wa kujisifu.

Mtanisamehe na utanisamehe, it seems like wewe kila kitu chako ni kizuri. Inawezekana umekuwa unampush huyo mwanamke away kwenye ndoa. Maana hata kosa la kuchepuka inaonekana unalidownplay, kama yalikuwa zito sana.

Kwenye somo la history tulisoma kuna longterm causes za vita, and ignition causes za vita. Inawezekana hilo la wewe kuchepuka ndio lilikuwa ni ignition point, ila kuna mengi ulikuwa unamfanyia akawa anavunga.

Inaonekana ulikuwa unamtreat kama mtu ambaye hana akili. Kwa sababu una hela na una maisha mazuri, na yeye kwao hawana maisha mazuri ukahisi atavumilia tu.

Kuishi na mtu ambaye s/he looks down on you ni very toxic and not healthy for any relationship.Na kuna watu huwa wanaona kila kitu cha kwao ni kizuri.

Ngoja niishie hapa na nisiandike mengi kama wewe.
Sasa mkuu kama huyo Dada alikuwa mistreated kwann akaombe msamaha sasa hv!?

Kuchepuka kwa mume adhabu yake ndio kuuza vitu vya ndani!??

Je baada ya hayo yote kosa la kuchepuka limefutika!??

Nikuambie tu, wanaume kulingana na nature yetu kuchepuka ni kitu cha kawaida!!

Hata sisi hatupendi ila ni maumbile yetu ya asili
 
Back
Top Bottom