Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

Dawa ya moto ni moto aisee siwezi kukubali kirahisi nitapeliwe mali zangu, yaani utazirudisha kwa gharama yoyote ile.Wacha wanyee debe segerea sipendi mzaa ktk mali zangu
 
Nimejaribu kuwa objective, na kuliangalia hili tatizo kwa jicho la tatu.
Na ndio maana ukiangalia comments zangu za juu, nimejaribu kutumia lugha nzuri tu.
Hii ni one sided story, unaweza mlaumu huyo mama kwa sababu jamaa anajua kusimulia.
Mipasho ya kina mama imeanza
 
Huo ni wizi kabisa, na naunga mkono hatua stahiki ulizochukua.
Lakini unazungumziaje swala la ndugu yetu huyu kacheat na hajaelezea sehemu yeyote kama alimuacha yule mwanamke au aliendelea nae.
ajenge wapi mkuu,!! nimemuoa amekuta kila kitu nimejenga na gari nimenunua yeye alikuja na nguo zake tu
 
Huo ni wizi kabisa, na naunga mkono hatua stahiki ulizochukua.
Lakini unazungumziaje swala la ndugu yetu huyu kacheat na hajaelezea sehemu yeyote kama alimuacha yule mwanamke au aliendelea nae.
kuhusu suala la uyu mtoa mada mimi siwezi kutoa neno, siwezi kusikiliza malalamiko ya upande mmoja lazima nisikilize upande mwingine kisha nitoe ulinganifu.
Lakini huyo mwanamke alikosea sana kubeba vitu na kutokomea kusiko julikana na uyu jamaa inaelekea ana michepuko mingi sana, utakuta mwanamke alivumilia lakini akashindwa kuhimili matatizo na ukiangalia kwa jicho la tatu uyo mwanamke alikuwa hana uwezo wa kufikiri alikuwa anashikiwa akili na ndugu zake .Na ndugu zake itakuwa wamechangia kiasi kikubwa kumshawishi abebe mali za jamaa na atokee kusiko julikana
 
Duuh sasa wataweza kuilipa kweli????[emoji15][emoji15]
Kipindi kesi iko mahakamani ndugu zao wa pande zote walichanga kunipatia pesa zote niliwaambia gharama ya mali yote mil 79 wakalia lia nikawaambia watoe mil 69.
lakini yule mwanamke alivyokuwa mpumbavu akawaambia ndugu zako wasitoe pesa yoyote maana vitu ni mali yake alivipata kwa njia ya halali ktk ndoa na piga ua kesi lazima ashinde coz bwana ake alikuwa askari.
Hukumu ilipotoka wakala mitano ya nguvu na faini mil 85
 
Mkuu David Harvey πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Wewe ni konki mkuu.....na imagine sijui sura yako inafananaje dah
Haya ulofanya ni matendo makubwa lol
 
Binadamu watu wa ajabu sana. Hayo ndio yalikuwa malipo ya wewe kumpenda.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ respect.
 


Umeongea point mkuu kama umeamua kusamehe same he kwa roho moja na sahau, hii ishu ya kusema nazuga nisamehe ili nilipize kisasi ndo mwishowe unaonekana we ndo mbaya kwa maana umaliziaji Wako umepiga kelele kuliko ulivyokosewa, hata wasiowahusika nao wanakuona haufai, hata walikuwa wanakussuport nao wanakuona siyo. Cha Msingi kama yamekushinda sepa kwa Amani ili kesho na keshokutwa ukikutana na mwenzako muweze hata kusalimiana.

Kwenye hizi ishu wanaokujaga kuhadhirika Mara nyingi ni wanawake. Nina kia kimoja mwanamke aliuza mpaka Nyumba ya mume, akavhukua kibeten wakaenda kutimbua hela south baada ya hela maisha kibenten kikakimbia, yule mwanamke alishatuma mpaka wachungaji kuomba msamaha jamaa kadinda, ukimuona huyo mwanamke kwa Sasa ni kama amechanganyikiwa vile, wakati alikimbia ndoa mwenyewe, ndoa ni kuvumiliana mama Zetu wangekuwa kama hwa wa Sasa wanaodanganywa na haki Sawa wengine tungekuwa chokoraa kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…