Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

Dawa ya moto ni moto aisee siwezi kukubali kirahisi nitapeliwe mali zangu, yaani utazirudisha kwa gharama yoyote ile.Wacha wanyee debe segerea sipendi mzaa ktk mali zangu
 
Nimejaribu kuwa objective, na kuliangalia hili tatizo kwa jicho la tatu.
Na ndio maana ukiangalia comments zangu za juu, nimejaribu kutumia lugha nzuri tu.
Hii ni one sided story, unaweza mlaumu huyo mama kwa sababu jamaa anajua kusimulia.
Mipasho ya kina mama imeanza
 
Huo ni wizi kabisa, na naunga mkono hatua stahiki ulizochukua.
Lakini unazungumziaje swala la ndugu yetu huyu kacheat na hajaelezea sehemu yeyote kama alimuacha yule mwanamke au aliendelea nae.
ajenge wapi mkuu,!! nimemuoa amekuta kila kitu nimejenga na gari nimenunua yeye alikuja na nguo zake tu
 
Huo ni wizi kabisa, na naunga mkono hatua stahiki ulizochukua.
Lakini unazungumziaje swala la ndugu yetu huyu kacheat na hajaelezea sehemu yeyote kama alimuacha yule mwanamke au aliendelea nae.
kuhusu suala la uyu mtoa mada mimi siwezi kutoa neno, siwezi kusikiliza malalamiko ya upande mmoja lazima nisikilize upande mwingine kisha nitoe ulinganifu.
Lakini huyo mwanamke alikosea sana kubeba vitu na kutokomea kusiko julikana na uyu jamaa inaelekea ana michepuko mingi sana, utakuta mwanamke alivumilia lakini akashindwa kuhimili matatizo na ukiangalia kwa jicho la tatu uyo mwanamke alikuwa hana uwezo wa kufikiri alikuwa anashikiwa akili na ndugu zake .Na ndugu zake itakuwa wamechangia kiasi kikubwa kumshawishi abebe mali za jamaa na atokee kusiko julikana
 
Duuh sasa wataweza kuilipa kweli????[emoji15][emoji15]
Kipindi kesi iko mahakamani ndugu zao wa pande zote walichanga kunipatia pesa zote niliwaambia gharama ya mali yote mil 79 wakalia lia nikawaambia watoe mil 69.
lakini yule mwanamke alivyokuwa mpumbavu akawaambia ndugu zako wasitoe pesa yoyote maana vitu ni mali yake alivipata kwa njia ya halali ktk ndoa na piga ua kesi lazima ashinde coz bwana ake alikuwa askari.
Hukumu ilipotoka wakala mitano ya nguvu na faini mil 85
 
Mkuu David Harvey 🙌🙌🙌
 
Kama mtu hajawahi changamoto kama hizi anaweza kudhani ni hadithi za kutunga.
Tena afadhali wew maumivu yako sio makubwa kama yangu, story kwa ufupi mke wangu kwa kushirikiana na familia yake waliuza kila kitu nyumba hadi gari na mtoto niliambiwa sio wangu na kweli mtoto alikuwa sio wangu kuja kufuatilia kumbe nilioa mwanamke akiwa na ujauzito wa mwezi mmoja.
Baada ya miezi 2 kurudi Tz kupeleleza nikagundua mwanamke yupo kwa bwana ake aliyemzalisha uyo mtoto.
Nikafungua kesi ya wizi mahakamani, mpka muda muda huu ndugu wa mwanamke, mwanamke mwenyewe pamoja na bwana ake wapo segerea mwaka 1.5 huu na warudishe mali zangu zote
Wewe ni konki mkuu.....na imagine sijui sura yako inafananaje dah
Haya ulofanya ni matendo makubwa lol
 
Kama mtu hajawahi changamoto kama hizi anaweza kudhani ni hadithi za kutunga.
Tena afadhali wew maumivu yako sio makubwa kama yangu, story kwa ufupi mke wangu kwa kushirikiana na familia yake waliuza kila kitu nyumba hadi gari na mtoto niliambiwa sio wangu na kweli mtoto alikuwa sio wangu kuja kufuatilia kumbe nilioa mwanamke akiwa na ujauzito wa mwezi mmoja.
Baada ya miezi 2 kurudi Tz kupeleleza nikagundua mwanamke yupo kwa bwana ake aliyemzalisha uyo mtoto.
Nikafungua kesi ya wizi mahakamani, mpka muda muda huu ndugu wa mwanamke, mwanamke mwenyewe pamoja na bwana ake wapo segerea mwaka 1.5 huu na warudishe mali zangu zote
Binadamu watu wa ajabu sana. Hayo ndio yalikuwa malipo ya wewe kumpenda.
 
Kipindi kesi iko mahakamani ndugu zao wa pande zote walichanga kunipatia pesa zote niliwaambia gharama ya mali yote mil 79 wakalia lia nikawaambia watoe mil 69.
lakini yule mwanamke alivyokuwa mpumbavu akawaambia ndugu zako wasitoe pesa yoyote maana vitu ni mali yake alivipata kwa njia ya halali ktk ndoa na piga ua kesi lazima ashinde coz bwana ake alikuwa askari.
Hukumu ilipotoka wakala mitano ya nguvu na faini mil 85
😂😂😂 respect.
 
Of course hii ignition cause ndiyo msingi kwenye Story hii,

kuna wakati unaweza ukawa chanzo cha tatizo lakini ukawa unaona perfection tu peke yake kwa upande wako asikwambie mtu kwenye mahusiano wewe ukiwa hausaliti/ haulali nje ya ndoa au mahusiano lakini mwenzio anafanya na umemkamata na ushahidi inaumiza sana kiakili

Pia shida ya Mfumo inatumaliza na kusikia kwa misemo, hata kusoma vitabuni na kwenye habari kwamba sisi wanaume kwa namna moja au nyingine tuna haki au usahihi kwa kusaliti sababu ya nature na vitu vingine kama hivyo hii imekuwa sababu ya migogoro mingi na visa vingi sana kwenye mahusiano.

Japo pia umaliziaji wa hawa dada zetu, wanawake, umaliziaji wao unakuwaga mbaya sana. Utakuta kweli yeye ndiye ameanza kufanyiwa ubaya lakini alivyo malizia sasa

Kisa hiki kinafanana sana na kisa kilichowahi kumtokea Ndugu yangu wa damu, ambaye na yeye mwanamke aliuza kila kitu na kukimbia na mtoto, nakumbuka nilihusika kumfatilia nijue anaishi wapi baada ya kumuona akiwa kwenye dhohofu i hali yeye na mtoto ili tuchukue mtoto

Lakini wanafamilia wote, marafiki, majirani wanamuona aliyekosea ni yeye mwanamke ijapokuwa utakuta ndugu yangu mwanamme mwenzangu ndiye alikuwa chanzo na kuanzisha ugomvi. SABABU MWANAMKE KAMALIZIA VIBAYA

TUJITAHIDI TUSIWE CHANZO

Umeongea point mkuu kama umeamua kusamehe same he kwa roho moja na sahau, hii ishu ya kusema nazuga nisamehe ili nilipize kisasi ndo mwishowe unaonekana we ndo mbaya kwa maana umaliziaji Wako umepiga kelele kuliko ulivyokosewa, hata wasiowahusika nao wanakuona haufai, hata walikuwa wanakussuport nao wanakuona siyo. Cha Msingi kama yamekushinda sepa kwa Amani ili kesho na keshokutwa ukikutana na mwenzako muweze hata kusalimiana.

Kwenye hizi ishu wanaokujaga kuhadhirika Mara nyingi ni wanawake. Nina kia kimoja mwanamke aliuza mpaka Nyumba ya mume, akavhukua kibeten wakaenda kutimbua hela south baada ya hela maisha kibenten kikakimbia, yule mwanamke alishatuma mpaka wachungaji kuomba msamaha jamaa kadinda, ukimuona huyo mwanamke kwa Sasa ni kama amechanganyikiwa vile, wakati alikimbia ndoa mwenyewe, ndoa ni kuvumiliana mama Zetu wangekuwa kama hwa wa Sasa wanaodanganywa na haki Sawa wengine tungekuwa chokoraa kwa sasa.
 
Back
Top Bottom