Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

BAADHI YA WANAWAKE SIJUI HUWA MNATAKA NINI KWA KWELI
Wajitafakari sana.

Ila mkuu kama una moyo ww msaidie tu ila isirudiane nae ni mzazi mwenzio huyo akipotea watoto wako watakuwa wamepoteza mama yao.
 
wanawake mkiolewa msisikilize maneno ya ndugu, marafiki, achana na dada zako na mama yako, fata akili zako. Nina sema hivi kwasababu tukio kama hili la kushikiwa masikio na ndugu zako kisa mmeo ana pesa lilishawahi kutokea kwenye ukoo wetu. Maarifa ya maisha ni muhimu.
 
Daaaah....nmesoma kila neno uliloandika...ni uhondo juu ya uhondo....nashauri utoe kitabu kabisa ....

Hz ndoa hz duuh.....wanawake wasomi wasumbue, na wasio wasomi pia wasumbue...mambo n balaaa
Ukiona unakaribia kumjua mwanamke, ujue unakaribia kufa. Don't trust a woman
Cha msingi na cha muhimu. Kama mwenzako hachepuki ni bora na wewe usichepuke. Hii issue imeanzia kwenye "kuchepuka". Kumbuka linapokuja kwenye suala la kuchepuka kuna wengine usamehe na wengine hawasamehe.
Jamaa amsamehe ila asikubali kurudiana naye. Ila akumbuke huyo ni mzazi mwenzake hiyo haipingiki kwasababu watoto wanawaunganisha. Na ipo siku watakutana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…