Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

Akilini mwako unatembea Na akuna Kama mama, mama ni mama sio
Kimsingi mzazi ni mzazi hata angekosea. Mtoto hawezi kumwona mzazi anateseka akavumilia. Lakini pia huwezi Pima amani watoto waliokuwa nayo enzi wazazi wako wote na amani walionayo sasa.
Hajatazama vizuri hiko siku bibi yao ataenda mbele ya haki itabidi awachukue watoto wataenda kuishi na nani kama si mama wa kambo? Na baada ya hapo drama ya pili itaanza
 
Sijasoma kabisa
Huyo niliyemtag atakuja kunisamaraizia boss
Boss bora ujitahidi angalau uisome nimeipenda, kuna mafundisho mengi sana. Hawa ni watu walolelewa na wazazi wawili tofauti. Mmoja mswahili (makuzi na malezi) ambapo badala ya kumshauri binti yake yeye kajiunga naye. Mwingine alipomshirikisha mama yake (mstaarabu), akasema samehe, akauliza watoto mama akamjibu wataletwa au walikuwa watajileta, kijana alipotaka kujua umbea wa nini kilijiri kati ya mama na mkewe akamzimia simu! Hili funzo tosha. Bado nasubiri kuitwa kwa interviewe ya kibarua changu ujue
 
Stori imejaa kujisifu na uzandiki.
1. Mwanzoni, Ulijivunia vitu badala ya UTU (upendo wa dhati). Ukaibuka na Mtoto wa mjini na genge lake
2. Mchumba/mke uliunganishiwa na ndugu (japo wa mbali) hukumchagua,
3. Mahusiano yako yamejaa washauri kibao (sister, jamaa wa kazini, mamaz, majirani) miluzi mingi humpoteza mbwa.
4. Mpaka mwanamke anakukimbia (na uwezo ulionao) ujue una tatizo.
**Ku-balance story ilipaswa tumsikie mwanamke nae maana wewe unajifagilia mwanzo -mwisho eg. Nilikuwa na kila kitu (nyumba ya kupanga?), Mark II, nilinunua bati 20,nikanunua shamba 1m
 
Yatokanayo
1. Mkeo alikuwa anachepuka nje toka zamani.
2. Ulitumia nguvu ya ushawishi ya pesa/mali kumpata huyo mkeo.
3. Hapakuwa na mapenzi ya dhati/kweli kutoka kwa mkeo!
4. Kuna/una weakness ambayo mkeo ilikuwa ni tatizo kwa mkeo!!

Mapungufu.
1. Sababu ya msingi ya mkeo kuondoka haujaeleza
 
Kimsingi mzazi ni mzazi hata angekosea. Mtoto hawezi kumwona mzazi anateseka akavumilia. Lakini pia huwezi Pima amani watoto waliokuwa nayo enzi wazazi wako wote na amani walionayo sasa.
Hajatazama vizuri hiko siku bibi yao ataenda mbele ya haki itabidi awachukue watoto wataenda kuishi na nani kama si mama wa kambo? Na baada ya hapo drama ya pili itaanza
Kwani wewe uliyepata upendo wa baba Na mama, baba yako akuwa Na mchepuko, mamayako alikukosesha upendo kisa michepuko ya Mzee wako, ? Kwani ujasoma kuwa mwanamke alikuwa kachoka kiuchumi Na jamaa akupenda watoto wake wakae uswahilini,
 
Wote mna makosa na wewe ndo ulienza kwa kuchepuka tunatofautiana Sana kuchukulia Jambo huwezi just alivyojua umechepuka alijisikiaje na ilimuafect kiasi gani kweli ana makosa ila chanzo Ni wewe ,na huwezi just labda huyo mwanamke alimwambia akija mkoani watakuwa wakewenza
 
Uko sawa mkuu, mimi waliniharibia familia yangu kwa kumfundisha upumbavu, we acha tu
wanawake mkiolewa msisikilize maneno ya ndugu, marafiki, achana na dada zako na mama yako, fata akili zako. Nina sema hivi kwasababu tukio kama hili la kushikiwa masikio na ndugu zako kisa mmeo ana pesa lilishawahi kutokea kwenye ukoo wetu. Maarifa ya maisha ni muhimu.
 
Mkuu niko na dogo (mwanangu) pembeni kalala. Kisa uluchopitia funzo kwako na kwa wengine.. Sio kila msichana yupo hivyo lkn wengi ndivyo walivyo na matokeo yake wanakuja kuomba msamaha. Wewe msamehe na uendelee na life yako. Ila chonde chonde usimpe nafasi.. Wallah tutakuzika..
Keep my word..
 
Boss bora ujitahidi angalau uisome nimeipenda, kuna mafundisho mengi sana. Hawa ni watu walolelewa na wazazi wawili tofauti. Mmoja mswahili (makuzi na malezi) ambapo badala ya kumshauri binti yake yeye kajiunga naye. Mwingine alipomshirikisha mama yake (mstaarabu), akasema samehe, akauliza watoto mama akamjibu wataletwa au walikuwa watajileta, kijana alipotaka kujua umbea wa nini kilijiri kati ya mama na mkewe akamzimia simu! Hili funzo tosha. Bado nasubiri kuitwa kwa interviewe ya kibarua changu ujue

Nitaisoma vizuri usiku boss

Kibarua cha kazi nitakukonekti kwa Asprin ,huyo alisema anatoa ajira
 
Msamehe tu uwe huru moyoni mwako hata hivo s ushaamua kuendelea na maisha yako sasa kinachoufanya ushindwe kuwasamehe ni nn??

Acha dunia iwafunze barabara ww lea wanao tu wakikua watamtafta mama yao wakipenda lakini wasamehe

Asante kwa Ushauri Mkuu, ila ni ngumu sana yaani, sijaandika yote hii ni kwa ufupi tu, ila nitufanyia Kazi Ushauri Wako, asante kwa Mara nyingine
 
Back
Top Bottom