Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Mkuu naheshimu Mawazo yako, je kulikuwa na haja gani yeye kuuza vitu vyangu kama alikuwa ameamua kuachana na mimi kwa sababu ulizozitoa.
Hivi unaweza ukawa unamdharau mtu kwa hali yake au kwa hali ya kwao huku ukawa anafanya bidii ya kumsaidia Kutoka Kwenye ile hali au kumsaidia wakao Kutoka Kwenye ihyo hali? Sidhani.
Na kama aliamua kuondoka kwa sababu nilikuwa namtreat kama mtu asiye na akili je alipotaka kurudi alishapata akili kwa hyo ninhemtreat kama ana akili na familia yao ilishapata maisha mzuri?
Swla la kuchepuka Sawa unaweza kuwa ndo ulikuwa ignition point kama unavyosema, ila nilimuomba msamaha na yeye akasema yameisha tena mbele ya mama yake.
Kwa suala la kujisifu sorry kama limekukwaza, labda ungesikia nilikuwa naishi Kwenye chumba kimoja cha uani ungefurani, sorry Mkuu.
Nirudie tena huwezi ukamdharau mtu kwa hali yake halafu ukajitahidi kumtoa Kwenye hyo hali.
Sasa mkuu kama huyo Dada alikuwa mistreated kwann akaombe msamaha sasa hv!?
Kuchepuka kwa mume adhabu yake ndio kuuza vitu vya ndani!??
Je baada ya hayo yote kosa la kuchepuka limefutika!??
Nikuambie tu, wanaume kulingana na nature yetu kuchepuka ni kitu cha kawaida!!
Hata sisi hatupendi ila ni maumbile yetu ya asili
Naona mmeanza kumchambaa mwanaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Ndio uone maamuzi ya kijinga yalivyomcost huyo mdada, kwani aivyouza vitu akaondoka si aliona hatarudi tena!? Sasa nn kinachomrudisha kuomba msamaha!???Vitu vyenyewe vitu gani bro ? Vitanda na TV ya inch 32?
Kuna watu wanaacha magari na nyumba na hawalalamiki.
Kama una hela kweli hivyo vitu si unareplace tu.
Kwanza mlitaka asepe bila kitu kabisa ?
Hata ingekuwa kijiko ni halali mwana kuongea maaana ni jasho lakeMwana pesa anazo lakini TV tu zimemtoa rohooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maisha haya balaa wengine wanawake wauza nyumba kabisaa
Hata ingekuwa kijiko ni halali mwana kuongea maaana ni jasho lake
Haya...Nimekuacha tu.
Bila makubaliano!? Huo ni wiziAmeuza vitu vyao na sio vyake, point of correction.
Funguka kidogo ili ndugu zako tupate maarifa zaidi juu ya hivi viumbe BosiHukukosea, mwanaume kuchepuka ni suala la kawaida!!
Ishu ya kuuza vitu vya ndani ni wizi kama wiz i mwingine, bad enough wakaungana kukutukana! Kwa experience yangu inawezekana kuwa walikaa kikao wakakubaliana, huyo mwanamke alipata mtu mwingine!!!
Nilishawahi kutukanwa na mtu akishirikiana na dada zake January 2014. Akaolewa! Leo hii aliyenitukana ni kichaa(so sad)
Aiseee sijui wewe ni dada au kaka ila umenisikitisha sana! Binafsi nimeumia mnoo hivi najiuliza huyo mwanamke akili yake ipo sawa kweli? Hata kama mumeo alikucheat na ukagundua kwahiyo ndo ufanye malipizi kisa mume kakucheat na wewe ufanye the same thing? Mbaya zaidi upo kwenye serious relationship na watoto wawili umezaa? Alishindwa kuwafikiria watoto wake?Kidogo nitakuwa tofauti na kila mtu humu.
Kwanza nianze kwa kukwambia pumbavu! Pumbavu sana! Pumbavu tena!
Ukitembea na mchepuko mkeo alikua kakukosea nini? Umefanya kazi ya kuweka akili kwenye Mali ukasahau watoto wanahitaji malezi ya baba na mama na si ya bibi. Nikweli mkeo alikosea kwa hatua alizochukua baada ya wewe kutenda kosa ila unajua mkeo ni zaidi ya wewe unavyomwona mkeo? Huyo binti unaejivunia mzuri anamwita mkeo mama! Nafikiri unajua maana ya neno mama. No matter what kwa wanao huyo ni mama yao, ukizingatia upendo wako kwa wanao utaanza na kulijua hilo utajua watoto wanahitaji uwepo wa mama kama wanavyohitaji uwepo wa baba pia. Nyote wawili hamjui watoto wanataka nini mnawaza Mali za dunia na starehe zenu, ndio maana yeye alikua bize na biashara kuliko watoto na wewe ulikua busy na kumvua chupi mchepuko pumbavu sana! Ndoa na iheshimiwe nakwambia hili kutoka moyoni pumbavu sana!
Kuna kitu kinaitwa malipizi ya dhambi hivyo ulikua kwenye malipizi ya dhambi na kadhalika mkeo nae kawa kwenye malipizi ya dhambi zake. Hakuna mtu mwenye haki kwenye hii dunia mrudushe mkeo kwako na chukua wanao mkae nao. Kubwa tu siku zote unapohama hama na mkeo shetani yuko mtaani anasaka wafwasi wake. Ndoa ni ndoa na ni above your emotions.
Samahani kama utahisi sielewi uliyopitia. Pumbavu sana.
2014-2015 Nililia lia saaana humu japo nilikuwa na ID nyingine, kuliaccept hilo jambo nilichukua mwaka mmoja, baada ya mwaka nikubali she has gone!! Nikabadili plans zangu za maisha! Ila niliumia saaanaFunguka kidogo ili ndugu zako tupate maarifa zaidi juu ya hivi viumbe Bosi
Kwamba umeona shda unazopitia ni kama vile utani tu!Duuu aiseee
Mpaka nimesisimka
Ilikuwaje kaka? coz hakuna bingwa wa mapenzi na ambaye hakuwahi kupitia changamoto kama hizo, so naomba kujua chanzo cha mkasa2014-2015 Nililia lia saaana humu japo nilikuwa na ID nyingine, kuliaccept hilo jambo nilichukua mwaka mmoja, baada ya mwaka nikubali she has gone!! Nikabadili plans zangu za maisha! Ila niliumia saaana
Mipasho ya kina mama imeanzaVitu vyenyewe vitu gani bro ? Vitanda na TV ya inch 32?
Kuna watu wanaacha magari na nyumba na hawalalamiki.
Kama una hela kweli hivyo vitu si unareplace tu.
Kwanza mlitaka asepe bila kitu kabisa ?
Wivu wakike..tafuta nawewe utapataHahahaha, watu si wanamsifia wakati jamaa anatuongezea sifuri buku inakuwa laki.