Hata kwenye Wizara ya fedha na mipango, bado wengi walishangaa uteuzi wake.
😂mdomo huo🤒Mie hua nasema.....
Amakweli uchawi upo..🫣
Viatu vinapwayaKama ili Jambo lako lifanyiwe utatuzi mpaka umuone PM na wewe ni mwananchi wa kawaida tu unalima korosho, basi huwezi kusema huyo PM anafanya kazi nzuri.
Viongozi wazuri wanatengeneza sysytem za kusimamia mambo, ni upumbavu waziri mkuu kuzunguka nchi nzima kukusanya kero za wananchi wakati kuna watu mpaka ngazi ua kata wanalipwa kwa kodi za wananchi.
Nilitegemea kila kero inayowasiliswa inaondoka na mtu alie zembea kuitatua wakati iko kwenye mamlaka yake.
Ni rais wa mawe au haujui?Chini ya kundi la CCM mtandao full potential ya Mwigulu Nchemba haitakaa ionekane labda akiukwaa urais huko mbele ya safari.
Inasikitisha sanaTatizo la CCM mtandao ni kubwa kuliko Mwigulu mwenyewe. Mfumo huo unakuzisha wanaofuata mstari, si wanaovunja mipaka kwa maslahi ya taifa.
Hata kama Mwigulu ana akili ya ziada — na ana — mfumo huo utamzuia asifike full potential yake. Ni kama kuweka Formula 1 car kwenye barabara za vumbi — gari zuri, barabara mbaya
Umenena vyemaUkweli mchungu Mwigulu anajua jinsi ya kuzungumza na wanyonge
lakini anajua zaidi jinsi ya kupiga picha akizungumza nao. Kizazi chetu hakitaki kiongozi wa Instagram politics
Tunataka kiongozi anayefanya kazi ukimya, matokeo yake yanazungumza.
Mwigulu bado ana nafasi ya kubadilika — lakini muda wake wa kubadilika unakimbia haraka
Kwani ndio waziri mkuu atayekaa madarakani muda mfupi sana.
Waziri mkuu ni muwakilishi wa wananchi.. hivyo anachofanya ni moja ya jukumu lakeKwa kweli Dk Mwigulu Lameck Nchemba anajitahidi sana ili ajae kwenye kiti cha uwaziri mkuu kupitia kusikiliza kero mbalimbali za wananchi wanyonge lakini moyo wangu bado umegoma kumuona kama waziri mkuu.
Shida ya Mwigulu Nchemba ni kwamba ana sura mbili, sura ya kwanza ni ya utendaji na sura ya pili ni ya propaganda.
Bahati mbaya sana kwa Mwigulu Nchemba ni kwamba sura ya propaganda ndiyo dominant(imemtawala)
Chini ya kundi la CCM mtandao full potential ya Mwigulu Nchemba haitakaa ionekane labda akiukwaa urais huko mbele ya safari.