Kila nikikumbuka hili tukio nacheka mwenyewe

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kuna wakati nilikua napenda sana kutizama movie za porn kwenye laptop yangu. Sasa siku moja nikawa najiandaa niwahi kikao ambacho mimi ndiye nilikua presenter. Kwa vile muda ulikua bado, nikafanya maamuzi ya kutizama porn walau kwa dakika chache.

Movie ikanoga sana hadi nikajishtukia nachelewa kikao, mara moja nikafunika laptop na kuitia ndani ya mkoba, wala sikukumbuka kuzima movie. kawaida laptop ukiitia ndani ya bag, application zote huwa zinakwenda kwenye hibernation.

Nilifika kwenye kikao nikakuta nimesubiriwa sana, tayari wadau wameanza kunung'unika, akiwemo mkuu fulani humo. Mara moja nikaitoa laptop kwenye mkoba na kuifungua, sasa cha kushangaza kumbe ile movie haikuzima, sauti za mwanamke zikaendelea "Oh yeah, oh yeah" halafu huku screen imezima hivyo siwezi zima movie yenyewe. Kero zaidi button ya kuzima moto ikawa inazingua hata kwa kubonyeza ikawa inagoma.

Nilitamani ardhi ipasuke nife mbali. Kilichofuatia sina hamu ya kukitaja, ila hizi laptops ni kero.
 
Hiyo laptop wala haina hatia ni sawa na kuilaumu bunduki kwamba inauwa wakati watu ndio huuwa kwa kutumia bunduki.
Kosa lako wewe mwenyewe ndio lilikuumbua ni sawa na yule waziri wa kongo aliyekua anacheki akajichua ofisini kutokana na mazoea yamezaa tabia mpaka uzeeni bado.
 
Ss wakati unachec hyo porn hukupiga musterbation!!!
 
Mkuu, ina maana ulikuwa ushaunganisha kwenye projector?
Sikua nimeunga kwenye projector, ndio nilikua naanza kuiandaa. Ukumbi wenyewe ulikua full, macho yote kwangu, mijitu imenuna na kunishangaa, jasho linanitiririka huku natamani bora nife.
 
Hiyo inanikumbusha kuna jamaa alikuwa ni mpole kabisa tupo ofisini kila mtu na computer yake kumbe yeye alikuwa anaweka porn, ile anaweka tu alikuwa haja connect headphone basi zikaanza kelele sasa kwa hofu akawa ana shutdown na ikiwa inagoma watu wote tukawa tunamuangalia yeye, jamaa ni mweupe alikuwa mwekundu ghafla
 

Hehehe!! Kamanda funguka usione aibu, ulifaulu kuizima baadaye?
 
Mimi nilidhani porn ni kwa vijana ambao bado hawajawa na majukumu kumbe mpo watu mliopata hadi nyadhifa za kusimsm mbele za watu bado mnaangalia porn
 
We acha, tu watu wananiheshimu ofisini kuwa nipo bize na kazi muda wote, sasa siku hiyo bosi mkuu kabisa alikuwa anapita kila kitengo, mimi nikawa nimeaacha laptop yangu yaToshiba kwenye meza yangu huku porn ikiendelea, nikaenda kukoroga kahawa tena mida ya saa tano asubuhi, ile nafika namkuta bosi wangu kasimama kwenye kiti changu, Aiseee, siwezi sahau ile aibu, jioni yake niliomba likizo ya dharura siku nne. Lakini yule bosi hakuniuliza wala kuniambia chochote hadi leo ni mwaka wa pili huu. Lakini namkwepa balaa na ukizingatia ni bosi mwenye ni mama mtu mzima.
 
yaani watu hatujasex miaka tunadhani wanaume hakuna kumbe mpo bize na maporn acheni hizo bna
 
Hahaa! Wish I was in the crowd. Haha.MK254, that gave you a unique entrance. I bet the audience was very alert from then on.
 
yaani watu hatujasex miaka tunadhani wanaume hakuna kumbe mpo bize na maporn acheni hizo bna

Hehehe! Wewe wa wapi aisei, fahamu porn kwanza hufanya sex inanoga sana. Mnajifunza mengi humo, sex inakua sio booring maana sio kila wakati style moja tu basi.
Halafu pia porn inawezesha mwanaume afanye sex karibia kila siku. Yaani ukimtangulia kitandani, kabla akufuate anatumia dakika mbili tu kutizama movie, halafu anaiva na kuja kitandani huku anahema kama simba akiwa tayri kukuchana chana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…