MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Kuna wakati nilikua napenda sana kutizama movie za porn kwenye laptop yangu. Sasa siku moja nikawa najiandaa niwahi kikao ambacho mimi ndiye nilikua presenter. Kwa vile muda ulikua bado, nikafanya maamuzi ya kutizama porn walau kwa dakika chache.
Movie ikanoga sana hadi nikajishtukia nachelewa kikao, mara moja nikafunika laptop na kuitia ndani ya mkoba, wala sikukumbuka kuzima movie. kawaida laptop ukiitia ndani ya bag, application zote huwa zinakwenda kwenye hibernation.
Nilifika kwenye kikao nikakuta nimesubiriwa sana, tayari wadau wameanza kunung'unika, akiwemo mkuu fulani humo. Mara moja nikaitoa laptop kwenye mkoba na kuifungua, sasa cha kushangaza kumbe ile movie haikuzima, sauti za mwanamke zikaendelea "Oh yeah, oh yeah" halafu huku screen imezima hivyo siwezi zima movie yenyewe. Kero zaidi button ya kuzima moto ikawa inazingua hata kwa kubonyeza ikawa inagoma.
Nilitamani ardhi ipasuke nife mbali. Kilichofuatia sina hamu ya kukitaja, ila hizi laptops ni kero.