Bora wewe kuna jamaa tulipanga nae Nyumba moja mitaa ya Mabibo Hostel kuna siku alikua anaangalia porn bahati mbaya umeme ulikatika basi akafunga mlango akasepa tena alienda bagamoyo baada ya kurudi umeme hakuna aliyeamini masikio Yake si unajua haya masabufa ya kichina yanasauti automatic 40 mbaya zaidi ilikua DVD
Hehehe!! Mbona application zote huingia kwenye hibernation kila ukifunga laptop. Sasa ikawa movie ndio sugu na inasubiri kunitia aibu ya mwaka.
Lool nimecheka mbaya, haya mambo yasikie kwa wenzio. Najaribu kuwaza uko kwenye board meeting ndo yanayokea hayo maporn kwenye projector
haya mambo mengine noma sana,hahahahahKuna kisa Madame B wa hapa jf alituhadithia kuhusu haya mambo..kwamba kuna konda wa mabasi ya mikoni alisaau badala ya kuweka bongo movie aliweka picha ya ngono alafu kabla yakuanza akaenda nje..yaani kila mtu aliduwaa..wengine wanasonya..wengine wanatabasamu..hadi konda anakuja kupatikana watu wamesha faidi style kama tatu
HahahahahaWe acha, tu watu wananiheshimu ofisini kuwa nipo bize na kazi muda wote, sasa siku hiyo bosi mkuu kabisa alikuwa anapita kila kitengo, mimi nikawa nimeaacha laptop yangu yaToshiba kwenye meza yangu huku porn ikiendelea, nikaenda kukoroga kahawa tena mida ya saa tano asubuhi, ile nafika namkuta bosi wangu kasimama kwenye kiti changu, Aiseee, siwezi sahau ile aibu, jioni yake niliomba likizo ya dharura siku nne. Lakini yule bosi hakuniuliza wala kuniambia chochote hadi leo ni mwaka wa pili huu. Lakini namkwepa balaa na ukizingatia ni bosi mwenye ni mama mtu mzima.