Kila nikikumbuka hili tukio nacheka mwenyewe

Kila nikikumbuka hili tukio nacheka mwenyewe

Bora wewe kuna jamaa tulipanga nae Nyumba moja mitaa ya Mabibo Hostel kuna siku alikua anaangalia porn bahati mbaya umeme ulikatika basi akafunga mlango akasepa tena alienda bagamoyo baada ya kurudi umeme hakuna aliyeamini masikio Yake si unajua haya masabufa ya kichina yanasauti automatic 40 mbaya zaidi ilikua DVD

Ahhahahahahahhahaha ,yaan sipati picha ningekuwepo ahhahh
 
Lool nimecheka mbaya, haya mambo yasikie kwa wenzio. Najaribu kuwaza uko kwenye board meeting ndo yanayokea hayo maporn kwenye projector
 
Mwl wangu alificha porn ktk task bar nahis ni baada ya kusikia nagonga hodi
Nilipomuliza swali akanogewa, kunionyesha yuko deep akaanza kutafuta vya kuambatanisha na maarifa yake, si akagusa pale juu na cursor kwa bahati mbaya... Daaaa , ilikuwa hatari tupu: Somo lilifupishwa mwl akasepa mda huohuo
 
Lool nimecheka mbaya, haya mambo yasikie kwa wenzio. Najaribu kuwaza uko kwenye board meeting ndo yanayokea hayo maporn kwenye projector

Mengine hata usiwaze kuyahusu maana yatakutia presha aisei. Kuna sehemu kwenye studio ya kituo cha TV jamaa alijichanganya na kuweka porn badala ya habari. Yaani imagine sebule zote nchi hiyo mambo yalikua vipi. Eti ITV ghafla wakati wa habari, mapicha ya vituko yaanze. Hapo mtu ataikimbia nchi.
Taarifa hii hapa
Hardcore porn accidentally broadcast on Prime TV

Halafu hii video ya mgahawa, walijichanganya pia na kuweka porn wakati wa mchana watu wakila chakula.
 
Kuna kisa Madame B wa hapa jf alituhadithia kuhusu haya mambo..kwamba kuna konda wa mabasi ya mikoni alisaau badala ya kuweka bongo movie aliweka picha ya ngono alafu kabla yakuanza akaenda nje..yaani kila mtu aliduwaa..wengine wanasonya..wengine wanatabasamu..hadi konda anakuja kupatikana watu wamesha faidi style kama tatu
 
haya mambo mengine noma sana,hahahahah
 
We acha, tu watu wananiheshimu ofisini kuwa nipo bize na kazi muda wote, sasa siku hiyo bosi mkuu kabisa alikuwa anapita kila kitengo, mimi nikawa nimeaacha laptop yangu yaToshiba kwenye meza yangu huku porn ikiendelea, nikaenda kukoroga kahawa tena mida ya saa tano asubuhi, ile nafika namkuta bosi wangu kasimama kwenye kiti changu, Aiseee, siwezi sahau ile aibu, jioni yake niliomba likizo ya dharura siku nne. Lakini yule bosi hakuniuliza wala kuniambia chochote hadi leo ni mwaka wa pili huu. Lakini namkwepa balaa na ukizingatia ni bosi mwenye ni mama mtu mzima.
Hahahahaha
 
Back
Top Bottom