Kila nikikumbuka najiona fala sana, asante sana Mungu, huenda kuna funzo ulitaka nipate!

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
ilikuwa nipo form four shule moja pale mjiini moshi, nikapataga tuition moja hivi mwishoni mwa 2012 basi kimasihara nikakutana na dada mmoja mwanafunzi mwenzangu...kimasihara tukaja kuwa wapenzi!

Huyu dada kiukweli at first sikumpenda ila tulivozidi kuwa pamoja upendo wangu uliongezeka saana na wake ukawa unapungua, akaja kunizingua bhanaa kiukweli mzee baba nilisikitikaa saana....nikambembeleza takribani Mwaaka Mzima mtoto haelewi....akaja kunikubalia 2014 Katkati teena!

Basi Penzi likaanza upyaa...kiukweli sikuenjoy saana japo alionesha kubadilika kidogo (mwanzo alikuwa mwanamke psycho saana yaani hatabiriki yupo yupo serious na ana mood isiyotabirika)

Basi mzee baba kipindi nipo advance katkati ya Muhula mchumba si akantafta bhanaa asee nlifurahii mnoo...yaani natafutwa na mwanamke Ninaempenda?? Aaaah ilikuwa Faraja kubwa Kwangu.....Mpaka tukapeana ahadi za kuoana......Jaman i fel like i was a king!...Nikajihisi nimepata Mwanamke Kweli!

Weeeh unaambiwa Jasiri Haachi Asili, Manzi akarudia u psycho wakee, Maumivu yakarudi Upande wanguu.....kibaya hajali Hisia zangu asee.....nikaawaa Namweleza How i lOve Her...wapiii kwani anaelewaa?? yeye anachukulia easy tu....kwa kuwa nilikuwa nampenda Nikaona Fresh tu!

Huyu Manzi bhana.....kiukweli ni mwanamke hayupo romantic hata kidogo, tukaja tukashindwana kipindi flani nikaanza kumpima imani .....naacha kumtafuta labda siku Moja basi yeye hanitafti mpaka nimtafte mimi...nikatest siku 3 wapi hanitaft mpaka nianze mm....nikatest week simtaft wapii dem hanitaftii....nikataka kutest kwa kumwambia tuachane.....Manzi akasemaa Poaaa tenaa kirohoo safiiii!

Aisee Niliumia saana.....Mpaka Narud shule another semester nilikuwa siamini hata Kidogo....kiukweli nilipatwa na stress ya hatari....basi nikaja kuwa affected sycologicaly maana baada ya pale kila Mwanamke ninae date nae najihisi kama simpend vile Najikuta Tunaachana Tu na wala sijutii!

Nashukuru Mwenyezi Mungu alinipitisha kwa yule mwanamke...maaana kiukweli nilipata funzo kubwa kwamba hatutakiwi kupenda saana....tupende wastani!
 
Ungetumia lugha ngeni tujue moja hata haijabamba ujuaji mwingi huondoa maarifa
Utumbo mtupu
 
Ndio kukomaa huko

Huyo ni wa kwanza...wanakuja wengine.
 
Sasa unataka nin?pesa au ushauri au hii no story tuh?
 
Punguza hii mambo ya mianamke kwenye life utafanikiwa sana, jana umeleta uzi umelendemka kweli kwa mwanamke, inaonekana hii sector ipo kichwani mwako sana, hii sio dalili nzuri, gawanya kichwa vizuri uweke na sector nyingine......
 
Asantee Mkuu
 
Kweli vyuma vimekaza Magu akiendelea hivi watu watakuwa vichaaa
 
Back
Top Bottom