Kila nikikumbuka visa vya Mama Mwenye Nyumba, Kanyenye (Tabora) sirudi tena

Hongera mkuu, ulituwakilisha vyema timu kiumeni.

Je, ngoma umepima?
 
Ndg yangu Gudume,mbona Tabora huwa naona kama pamekaa kishamba sana? Kweli Mnyamwezi anaweza cheza michezo ya kurudi nyuma kweli...?kama siamini vle!
 
Hahahaaa., so pande zipi now? Ila ana roho nzuri, hakukuchongea upelekwe Kibiti.
 
ha ha hasuiombe kabisa kutembelea huko
Ndg yangu Gudume,mbona Tabora huwa naona kama pamekaa kishamba sana? Kweli Mnyamwezi anaweza cheza michezo ya kurudi nyuma kweli...?kama siamini vle!
 
Kanyenye cha mtoto mie yalinikuta hayo Itetemya na Kazehill kwa kina Lide/ Redempta miaka ya 1991/1993. Wanyamwezi balaa wacha kabisa!!!
 
Story ya kutunga....
 
Nahitaji kwenda tena tabora . nikienda safari hii hata kwa week moja nitapanga hayo maeneo uyasemayo.itetemya na kaze hill.wanyamwezi wanatisha kwa mambo hayo.... Utamaduni wa namna nadhani waliupata kwa waarab.hawa maeneo mengi wametuachia hazina kubwa ya wanawake wenye mapenzi... Tuwashukuru sana

Kanyenye cha mtoto mie yalinikuta hayo Itetemya na Kazehill kwa kina Lide/ Redempta miaka ya 1991/1993. Wanyamwezi balaa wacha kabisa!!!
 
mm nafikiria kwenda huko kumbe kuna mambo adimu mno!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…