Kila Nikila Kilaji Nazungumza Kihaya, Wengine inakuaje wakila wanazungumza Kiingereza?

Kiberiti Kidogo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2017
Posts
575
Reaction score
918
Habari jamani? Mimi huwa nashangaa sana. Nikiwa mzima nazungumza kiingereza muda wote. Ila nikinywaa tuu nazungumza kihaya sana ata kwa asiye muhaya. Ila wengine ni tofauti naona. Wakila vitu ni kiingereza mwanzo mwisho. Nini sababu?!?
 
Hahahaaaaaa. Kiongozi utakuwa unakunywa mataputapu sio bure
 
wahaya hata mkinywa bia mnajitangaza
mmenishinda
 
Unaongea kiingereza muda wote mbona umeandika kiswahili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…