Kiberiti Kidogo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 575
- 918
Habari jamani? Mimi huwa nashangaa sana. Nikiwa mzima nazungumza kiingereza muda wote. Ila nikinywaa tuu nazungumza kihaya sana ata kwa asiye muhaya. Ila wengine ni tofauti naona. Wakila vitu ni kiingereza mwanzo mwisho. Nini sababu?!?